Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

siyo kwamba ukiwa na gari, automatikali una mawe ?

maana nishawahi ulizwa, una gari ?
nikasema hapana
na chat ikaishia hapo
Mbona siku hizi tunaacha magari tunapenda Ubber?

Juzi nilikuwa sehemu mbali Sana na home, tumepiga vyombo vya kufa mtu, mid night nimechukuwa Bajaj mpaka home sh 15,000/= tu.

Sasa nani anataka shida sasa hivi ukalewe usiku uanze kuumiza macho na kupigwa taa au kupata ajari?

Wewe utakuwa na tatizo lingine siyo gari, gari halijawahi kuwa tatizo kwenye dating, material ni pesa ndio jawabu la mambo yote.
 
Huyu Mleta uzi nimemfikiria na kugundua ni wale Vijana waliotoka kwenye familia duni na masikini sana lakini baada ya Nature kumpa kipato na kazi nzuri amegeuka kuwa zuzu na limbukeni kwenye huu ulimwengu.
Mkuu OKW BOBAN SUNZU , badirika bhana huu ujinga unaopost kuwadharirisha Wanawake kwa sababu ni Muhasibu na unavaa suti sio ishu sana. Tumia taaluma yako kuleta maandiko yenye tija au bora ubaki kwenye kui support timu yetu ya SSC tu. Nature iliyokupa maisha hiyo hiyo inaweza ikakubadirikia na kukudharirisha aisee.
 
Inawezekana na malezi na ujinga wake,ila binafsi namfahamu binti wa 2004, heshima aliyonayo! nidhamu!! usikivu na unyenyekevu hata hawa wa 1985 hawana
 
mbona umekua mkali sana 😬😬
vingine ni changamsha genge usichukulie threads kwa userious hivyo utakufa na mhaho. umemkazania jamaa.
 
Mkuu 21 ni mtoto?
 
Kwakweli😂😂😂yeye kaona jamaa amesema anashuka hesabu za kiuhasibu akajua huyu ni mwalimu.
Furushi hakutaka kuumiza kichwa chake 🤣🤣🤣
 
Mkuu ukinichukulia serious utapoteza muda tu. Hii ni account binafsi sio ya taasisi
Sikuchukulii serious Mimi lakini akili yako inatakiwa ifanyiwe adjustment, huwa unaandika vitu vya kipuuzi sana. Labda hii I'd ni Artificial Intelligence 😂😂😂
 

No hard feelings mzee[emoji23] sio kila siku kila saa ni vitu serious tu, muda mwingine inatakiwa tuishi kama binadamu wengine, mimi sioni ubaya wowote kila mtu anafanya haya mambo ni vile tu yeye ameamua kushare yake na sisi…which is Not bad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…