Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

Nimecheka hilo lalamiko lako namba 4 kwamba wakati anakupa vile viuno vya Mkoleni, wakati huo huo anaomba hela/anaomba umnunulie Peruvian hair/anaomba umpeleke vacation Zanzibar πŸ˜œπŸ™Œ

Kumbe wanatofautiana

Me wangu nikiwa nakaribia kuwaleta Wazungu ndiyo hapo anaanza kuomba hayo mahitaji

Na kwakuwa nakuwa nje ya common sense, najikuta nakubali tu

Yeye: Daddy ninunulie iPhone 15
Mimi: Usihofu nitakupa
Yeye: Daddy nilipie tiketi ya Dubai
Mimi: Unataka uende na Fly Emirates ama Kenya Airways

Kuja kutahamaki nimeuza Kiwanja cha familia πŸ™Œ

Bora tumezeeka sasa 😜
 
Miaka 33 na huyo wa 21 wote akili zenu Sawa tu.

Unahitaji kuishi miaka 10 ijayo ndio utaelewa nilichoandika leo.

Binti wa miaka 21 anafanya sex kama passion tu lakini bado hawezi kuenjoy hilo tendo, wanawafanyia maigizo tu.
 
Hapo ndio huwa nakushangaa kutaka mimi niwe wewe. Mimi mwanangu wa kwanza yupo grade 3.
Inategemea umechelewa kuwa na familia lazima uwe na watoto wadogo.

Lakini kutembea na vitoto vidogo hiyo napinga kabisa.

Tena wanaume tunapaswa kuwasapoti Sana watoto wa kike wakishapevuka ili akiingie kwenye mapenzi aingie Kwa mtu wa rika lake.
 
Inategemea umechelewa kuwa na familia lazima uwe na watoto wadogo.

Lakini kutembea na vitoto vidogo hiyo napinga kabisa.

Tena wanaume tunapaswa kuwasapoti Sana watoto wa kike wakishapevuka ili akiingie kwenye mapenzi aingie Kwa mtu wa rika lake.
Kwangu mimi binti wa 21-25 ndio saizi yangu. Hata kesho nikioa akizidi sana 27. Ushauri wangu ni kwamba usiwe unatumia nguvu nyingi kunisoma. Muda wa kupiga magazijuto ya nimechelewa kupata familia tumia kufanya mambo muhimu. Pia usitumie nguvu kudeal na mambo ya MMU. Relax
 
Kwangu mimi binti wa 21-25 ndio saizi yangu. Hata kesho nikioa akizidi sana 27. Ushauri wangu ni kwamba usiwe unatumia nguvu nyingi kunisoma. Pia usitumie nguvu kudeal na mambo ya MMU. Relax
Kumbe Mwasibu hujaowa bado? umemzalisha mwanamke halafu kutwa mko hapa kuwaponda single mother.
 
Ww na uyo mwenzako nyote mnahitaj msaada
 
Ww mzee unajisifu kufanya ujinga?? Sasa huoni km unajidhalilisha kuonyesha silver hair watoto wako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…