Ujinga, Umaskini na Maradhi ni mtaji mkuu wa wanasiasa wa Tanzania


KODI HUENDA WAPI?
1. Kagoda
2. Meremeta
3. Rada
4. Deep green
5. Epa
6. Escrow
7.-------
kwa ujinga bado zimeendelea kuibiwa na kulingana na wengine humu. VIONGOZI wanatakiwa wasifiwe kwa kuachilia hayo.
 

Ugonjwa wa kupenda tiba yake lazima utendwe vibaya sana ndio waweza kushituka, wakati mwingine mapenzi hayo hutia ganzi kiasi kwamba usione wala usisikie. Naipenda TZ lakini siupendi utawala uliopo kwa upendo ulionao FaizaFoxy. Wewe umeamua kuweka pamba masikioni mwako na kuvaa miwani ya mbao. Kwamba huuoni uongonzi mbaya wa serikali yetu mpaka sasa. Just to name a few
1. Wizi wa fedha za uma (EPA, ESCROW, RADA n.k.) unazorotesha maendeleo.
2. Maamuzi hafifu yanapoteza rasilimali za nchi. Leo nimemsikia mh. Kafulila akielezea uamuzi wa serikali kujenga bandari ya kisasa Bagamoyo bila kufanya economic analysis yenye kuleta tija
3. Kushindwa kushughulikia uhalifu, waTZ wanauawawa kama kunguni
4. Mikataba yenye kunufaisha watu wachache (au wewe umo katika kundi hili) bila kujali maslahi ya wananchi
Hao mitume sio sehemu yao katika mjadala huu. Kubali kiungwana tubadilishe uongozi safari hii (hata kama atakaye ondoka ni mjomba wako), achana na mambo ya zimwi likujualo.
 

Hizo zote ni porojo tulizozizowea kila siku, bado hujasema huo uongozi ulikuongoza vipi vibaya?

Tunajuwa mnalalama sana kwa kuwa huu uomgozi uliopo umewabana mbavu na hamna pakuhemea.

Huo mnaousema wizi mngeujuwa bila uongozi wa sasa kuushughulikia apaswavyo?, si mlikuwa mnajiibia mnavyopeda, sasa mmeminywa mbavu barabara na hamna mbinu isipokuwa kufanya "character assassination", lakini mbinu zenu zote hazijafuwa dafu na wala hazitafuwa dafu na mbavu mtaendelea kuminywa.

Na msifikiri huyo ataekuja baada ya Kikwete atawawachia au kuwapa mwanya tena, huyo ndiyo mtalalama zaidi ya leo.
 

Bidii binafsi bila sera safi ni ngumu sana, mfano ni shule za kata bila walimu, vitabu, maabara, juhudi gani binafsi italeta first class?!

ESCROW ndio juhudi binafsi?!

Sometimes you must be impartial when you discuss issues which really matter!!!
 

Wanaopata FAIDA ya raslimali. Ni MBWEHA WACHACHE wanaomaliza kila kitu. ( FAIDA kwa MBWEHA)
 

Ni vizuri nikajua elimu yako ni ya upeo gani (darasa la saba au form II) ili niangalie namna bora ya kukuelimisha, maana huna ufahamu juu ya majukumu ya uongozi.
 

Reposted:
MWISHO WA KUCHAKACHUA NI SASA!
Zamani ilikuwa
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI!
IDUMU SIASA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA!

Sasa UKWELI ni

KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI - KUACHANA na UFISADI
NI NGUMU FIKRA ZA MWENYEKITI - ZA kuwalinda mafisadi na bado CHAMA kipone.
Ni NGUMU SIASA ya unyama na kujitegea - Inayoendelea ( unyama - wapigwe tu!)
NI NGUMU SIASA YA UNYAMA NA KUJIMEGEA - Inayoendelea. ( bila kujali hali duni ZA wananchi)


KAMA TUNA AKILI TIMAMU NI VIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI KUVUKA MWAKA HUU.
 
Bidii binafsi bila sera safi ni ngumu sana, mfano ni shule za kata bila walimu, vitabu, maabara, juhudi gani binafsi italeta first class?!

ESCROW ndio juhudi binafsi?!

Sometimes you must be impartial when you discuss issues which really matter!!!

Waalimu mpaka sasa tumeanza kuchukuwa wahitimu wa vyuo vikuu, uko wapi wewe? Kuna wakati Tanzania hii umewashika kuajiri walimu wengi kuliko sasa? Kina wakati kuna sekondari nyingi kuliko sasa? Kuna wakati shule imekuwa na maabara kuliko sasa? Vitabu? Wakati Kikwete anachukuwa nchi ilikuwa kitabu kimoja kwa wanafunzi 20 leo ni wawili na mwakani kila mtu na chake. Cheza na Kikwete wewe?
 

Source ya unayoyasema ni hipi? Kaangalie BEST na UNESCO reports na jinsi trend ilivyo ndipo utakaposema vizuri. Haya tazama kwenye hii report Tanzania ilivyo http://www.uis.unesco.org/Education/Documents/africa-regional-education-data-presentation-en.pdf
 

Dalili ya mvua mawingu. Juzi 80%.
 

Source yanini na kila kitu kiko wazi? huna macho, huna masikio? au ndiyo macho unayo lakini hayaoni, masikio unayo lakini hayasikii?

Wewe hata presentation uliyoiweka huielewi maana yake, ikiwa ni mtihani na jinsi nilivyoiona hiyo presentation basi Tanzania imefaulu kwa sana tu. Kaitazame upya uielewe.
 
JF wote hatutoshi kutoa hamasa kwa umma mzima..so changes will come slowly
 

Wewe undelea kuelekea North na mimi niendelee kuelekea South!!
 
Dalili ya mvua mawingu. Juzi 80%.

I have clearly understood that your job description is to make sure that you oppose anything that seems to be against your party regardless of its truth. Another part of your job description sounds like taking people away from the topic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…