Ujinga, Umaskini na Maradhi ni mtaji mkuu wa wanasiasa wa Tanzania

Nadhani ameajiriwa kwa ajili ya kupinga tu chochote.
 
Ccm kimedumu madarakani baada ya kuwafanya watanzania kua wajinga na masikini.lkn sasa wasomi walipongezeka ccm inapotea
 
Ccm kimedumu madarakani baada ya kuwafanya watanzania kua wajinga na masikini.lkn sasa wasomi walipongezeka ccm inapotea

Lakini pia ujue kuwa ni sera za ccm hiyo hiyo zinazofanya wasomi waongezeke. Kwa hiyo mazuri yapongezwe!
 
Ccm kimedumu madarakani baada ya kuwafanya watanzania kua wajinga na masikini.lkn sasa wasomi walipongezeka ccm inapotea
Tuqche na ujinga wetu na chama cha watanzania endelea na chama chenu cha majambazi na wauaji sugu kwanza yule mlinzi wa slaa mmempeleka wapi?
 
Ccm kimedumu madarakani baada ya kuwafanya watanzania kua wajinga na masikini.lkn sasa wasomi walipongezeka ccm inapotea
Tatizo akili zako zitakuwa zimetoboka mahala kwani elimu uliyonayo wewe inayokufanya uandike ujinga kama huu umeipata chini ya utawala wa nani kama siyo wa ccm?
 
Tatizo akili zako zitakuwa zimetoboka mahala kwani elimu uliyonayo wewe inayokufanya uandike ujinga kama huu umeipata chini ya utawala wa nani kama siyo wa ccm?

Alifanya umafios akapiga marufuku uwepo wa vyama vingine na kujitangaza chama pekee kutokea tanu/asp kwenda ccm, hapo napo unalazimisha eti iwe ajabu ccm kusimamia elimu mbovu kabisa ya kuuza Ndege na kununua jina la kampuni ya ndege.
 
Tatizo linakuja pale ambapo hawatambui mazur ya ccm na kuweka kando vilevi vya chadema. Hakuna wanachojivunia chadema zaidi ya bangi na viroba wanavyogawa kwa vijana.
 
Ccm kimedumu madarakani baada ya kuwafanya watanzania kua wajinga na masikini.lkn sasa wasomi walipongezeka ccm inapotea

Naweza kukubaliana nawe mkuu. Ona sasa upinzani ulianza kukomaa mijini ambako wengi shule ipo ya kutosha na habari zinasambaa haraka. Polepole upinzani unareplace CCM kwa kusambaa kutoka mijini na kupenya pembezoni ambako sasa mpaka vijijini wanaweza kumzomea hata Kinana???

Unajua maendeleo faida yake mojawapo ni hiyo kwamba watu wanapata umeme na hivyo wanakuwa na madishi kunasa babari live and first hand kabla hazijachakachuliwa na mavuvuzela?? Anayebisha akamuulize Magembe alichokipata ndani kabisa vijijini jimbioni kwake alipofurushwa na wapiga kura wake waliojikomboa na kumwambia live kuwa ni mwizi na jambazi, alipoanza kuwakandia ati walikosea majuzi kuchagua upinzani na hawataendelea kamwe. Walimtolea uvivu hadi akapotea barabara ya kutokea kijijini hapo, haamini. alitumia lugha ya CCM aliyozoea kuitumia na genge lake miaka nenda rudi kuwaaminisha vijijini kwamba wapinzani si lolote si kitu ila wavuruga amani.

Kinana juzi naye joto ya jiwe keshapata akaishia kwenda shambani baada ya wanakijiji huko Mpwapwa kumwambia live kuwa yeye ni jangili wa ndovu na pia kuwa viongozi wa ccm ni majambazi. Bahati mbaya wenzetu hawa huwa wanasahau haraka wakidhani wananchi wamefunzwa na upinzani kuwarudi kumbe elimu ndiyo factoe, na maendeleo ya BRN walipaswa na wao waguswe na BRN hiyohiyo. Wanadhani wanafanya kwa ajili ya wengine na sio wao. Kudadadeki!!!
 
Alifanya umafios akapiga marufuku uwepo wa vyama vingine na kujitangaza chama pekee kutokea tanu/asp kwenda ccm, hapo napo unalazimisha eti iwe ajabu ccm kusimamia elimu mbovu kabisa ya kuuza Ndege na kununua jina la kampuni ya ndege.
Mkuu kweli wewe kibatali elimu na kuuza ndege vinaingiaje au umevurugwa?
 
Lakini pia ujue kuwa ni sera za ccm hiyo hiyo zinazofanya wasomi waongezeke. Kwa hiyo mazuri yapongezwe!

Umejibu Upuuzi na kichefuchefu, Katika siasa inakuwa inawaumini wake, waumini wanaosupport utajiri na hakika hawa huwa katika kundi hilo navhutetea tabaka la wenye pesa na wanaotetea kuendelea kuishi maisha ya juu,

Tanzania ccm ni chama kinachotetea tabaka na kujaza makada kutetea ujinga ili mradi wanabaki pale walipo.
 
Kwa Uingeleza Davd cameroon, anaongoza tabaka flani, na George Bushi pia, hawa huwa wachache. kwa taanzania wanadanganywa kwa ujinga wao, elimu yao mbovu kutetea tabaka la matajiri ndani ya ccm na kuwaendesha watakavyo maskin tulio wengi

Elimu na wasomi wanazalishwa kwa sabbu ni lazina yyt yule anaeshika dola, elimu lazima uisimamie na yenye tija, sio hawa wasomi kina sitta bansen bana. Ni Warioba tu na baadhi walioelimika na kujua kutoa navkusema ukweli hawa tutawaita wanazuoni.
 
Ni sawa mkuu wangu nimesema kuongezeka kwa wasomi ni sera za ccm hiyo hiyo na hayo mabaya ya matabaka kati ya walio nacho na wasio nacho ni makosa ya ccm. My concern is tuseme mabaya na mazuri kama yapo tuseme pia.
 
Nisamehe maneno hapo juu mkuu,
 
Ni sawa mkuu wangu nimesema kuongezeka kwa wasomi ni sera za ccm hiyo hiyo na hayo mabaya ya matabaka kati ya walio nacho na wasio nacho ni makosa ya ccm. My concern is tuseme mabaya na mazuri kama yapo tuseme pia.

Nisamehe maneno hapo juu mkuu, CCM inaharibiwa kwa kitotenda haki, wssomi wanajificha ndani yake ili wale, majuzi nashuhudia wanafunzi wa vyuo vikuu baadhi, wakijihangaisha kuingia ama ktk UVCCM ama moja kwa moja kwa lengo la kupata kazi, kupata upendeleo, inasikitisha kwa sabb chama kitakufa kifo kibaya kabisa hapo siku za usoni
 
Hilo nalo neno. Asante mkuu wangu
 
Ni jambo ambalo halihitaji PhD kulifafanua au kulielewa.

1.Umaskini na ukosefu wa ajira umewafanya vijana kukosa uhuru wa maamuzi as the result wamejiunga na kundi linalojitaja kama "safari ya matumaini" wakiwa na tumaini la kupata chochote. ushahidi wa wazi ni kitendo cha vijana ninaosoma nao hapa UDSM kulipwa 2000/= kwenda kufanya fujo pale BLUE PEAL......na haohao leo ndo wanajiita team Lowasa.

2.Upumbavu ni zaid ya ujinga. Wanaodhaniwa kuwa wasom na wenye uwezo wa kuweka kumbukumbu vizuri juu ya matukio na mwenendo mzima wa serikali ya JK, huku EL akiwa PM such as Richmond, EPA, na the way EL alivyokuwa kimya ktk sakata la escrow bado duru zinadai ana ushirika na Karamagi, Chenge na Rostan eti hawaoni yanayoendelea na wameshasahau na kama haitoshi wanamsifia na kuona ndo tumaini?

Au idadi ya Mateja imeongezeka kwa kasi kubwa namna hiyo? Au ndo kizazi cha nyoka? Au Watz wamejikatia tamaa wanaona bora liende. Poor CCM, poor Lowasa, poor watia nia wote wa CCM, Poor wasomi mnaosupport CCM haswa wa UDSM.
 
Ukweli mtupu japo mchungu kwa wachumia tumbo wasiojitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…