Helow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo lilimlazimu hayati Magufuli kukopi ilani ya CHADEMA na kutekeleza baadhi ya maono yao ikiwemo :
1. Ujenzi wa sgr,
2.Ununuzi wa teni za umeme,
3.Ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere,
4. Ununuzi wa ndege kuimarisha utalii nk nk!
Ujio huu unaamsha Tena harakati ziizofifishwa na viongozi wa chama waliopita kwa kuamua kuridhiana na ccm .
Time huru ya uchaguzi na katiba mpya vitapatikana kwa kuwa wananchi wa kanda ya maji watarudi kushirikiana na watanzania wazalendo toka kanda zingine kuleta Tena tumaini jipya.
Lile kundi lililobezwa na kupewa jina baya, limepata pa kwenda sasa.
Mungu mbariki Mwanamikakati Dr Slaa,
Mungu ibariki CHADEMA,
Mungu ibariki Tanganyika.
Nawasiiisha.