Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Ingia mitandaoniWeka ushahidi
Ingia mitandaoniWeka ushahidi
kwamba kizee chenye laana ya tamaa, usaliti na uporaji wake za watu kimeongeza nguvu chadema?Helow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo lilimlazimu hayati Magufuli kukopi ilani ya CHADEMA na kutekeleza baadhi ya maono yao ikiwemo :
1. Ujenzi wa sgr,
2.Ununuzi wa teni za umeme,
3.Ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere,
4. Ununuzi wa ndege kuimarisha utalii nk nk!
Ujio huu unaamsha Tena harakati ziizofifishwa na viongozi wa chama waliopita kwa kuamua kuridhiana na ccm .
Time huru ya uchaguzi na katiba mpya vitapatikana kwa kuwa wananchi wa kanda ya maji watarudi kushirikiana na watanzania wazalendo toka kanda zingine kuleta Tena tumaini jipya.
Lile kundi lililobezwa na kupewa jina baya, limepata pa kwenda sasa.
Mungu mbariki Mwanamikakati Dr Slaa,
Mungu ibariki CHADEMA,
Mungu ibariki Tanganyika.
Nawasiiisha.
Padri mzinifu,Malaya wa kisiasa alikula CCM,akala CHADEMA ,akala CCM Sasa anakula CHADEMA huyo haaminiki na watu wenyeakili.Kwa staili hii CCM itaendelea kushika dola mileleHelow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo lilimlazimu hayati Magufuli kukopi ilani ya CHADEMA na kutekeleza baadhi ya maono yao ikiwemo :
1. Ujenzi wa sgr,
2.Ununuzi wa teni za umeme,
3.Ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere,
4. Ununuzi wa ndege kuimarisha utalii nk nk!
Ujio huu unaamsha Tena harakati ziizofifishwa na viongozi wa chama waliopita kwa kuamua kuridhiana na ccm .
Time huru ya uchaguzi na katiba mpya vitapatikana kwa kuwa wananchi wa kanda ya maji watarudi kushirikiana na watanzania wazalendo toka kanda zingine kuleta Tena tumaini jipya.
Lile kundi lililobezwa na kupewa jina baya, limepata pa kwenda sasa.
Mungu mbariki Mwanamikakati Dr Slaa,
Mungu ibariki CHADEMA,
Mungu ibariki Tanganyika.
Nawasiiisha.
Dr Slaa ni mkweli na mnyoofu.Padri mzinifu,Malaya wa kisiasa alikula CCM,akala CHADEMA ,akala CCM Sasa anakula CHADEMA huyo haaminiki na watu wenyeakili.Kwa staili hii CCM itaendelea kushika dola milele
CHADEMA MMEANZA KUPIGA WANAWAKE WANAWAKE NI JESHI KUBWA.MMEJIONDOLEA CREDITSDr Slaa ni mkweli na mnyoofu.
WEWE endellea kukaa chama kimoja na rost tamu.
Yule kiongozi wa CHADEMA aliyetekwa na kuvuliwa nguo na kutelekezwa.CHADEMA MMEANZA KUPIGA WANAWAKE WANAWAKE NI JESHI KUBWA.MMEJIONDOLEA CREDITS
Bado Josephine mushumbusi, hapo timu itakuwa kamili.Helow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo lilimlazimu hayati Magufuli kukopi ilani ya CHADEMA na kutekeleza baadhi ya maono yao ikiwemo :
1. Ujenzi wa sgr,
2.Ununuzi wa teni za umeme,
3.Ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere,
4. Ununuzi wa ndege kuimarisha utalii nk nk!
Ujio huu unaamsha Tena harakati ziizofifishwa na viongozi wa chama waliopita kwa kuamua kuridhiana na ccm .
Time huru ya uchaguzi na katiba mpya vitapatikana kwa kuwa wananchi wa kanda ya maji watarudi kushirikiana na watanzania wazalendo toka kanda zingine kuleta Tena tumaini jipya.
Lile kundi lililobezwa na kupewa jina baya, limepata pa kwenda sasa.
Mungu mbariki Mwanamikakati Dr Slaa,
Mungu ibariki CHADEMA,
Mungu ibariki Tanganyika.
Nawasiiisha.
Tatizo haitajiki kule,angekua anakula mafao yake tu saa hii.Dr Slaa ingependeza zaidi kama atarudi bungeni.
No reform s no election.Nataka nione kanda ya kati safari hii itakavyozizima kwasababu viongozi wawili wanatoka waandamizi wa CHADEMA wanatoka huko Jemadari Tundu Lissu na Jemadari Deo Mahinyila.
HujanielewaHakuna aliyesababisha tukakopa sana ili kukamilisha miradi.
Kila siku nauliza, miradi hiyo mnayoitaja kila leo kuwa ndo sababu ya kukopa ni ipi? Gharama yake halisi ni ipi na kama kuna malipo ya awali yalishafanyika ni kiasi gani, kiasi gani kilibaki?
Haiwezekani mnakopa nusu ya bajeti ya nchi ndani ya mwaka mmoja(15trln) halafu mseme ni miradi, ipi?
Kwenye utawala wenu, mkopa hivi
- 1st yr 13trln av
- 2nd yr 13trln av
- 3rd yr 13trln av
- 4th yr 15trln av
Sasa tuambieni, about 54 trilion zimelipia miradi gani? Na msiseme kabisa miradi ambayo inapaswa kuwa chini ya bajeti za wizara na ile inayopaswa kufadhiliwa na tozo mlizoanzisha.
Watch this trendNataka nione kanda ya kati safari hii itakavyozizima kwasababu viongozi wawili waandamizi wa CHADEMA wanatoka huko Jemadari Tundu Lissu na Jemadari Deo Mahinyila.
Hizo hoja za ukabila CHADEMA zilishayeyuka zamani kama za Msigwa kuondoka CDM kwa sababu ya Mbowe😆😆😁Watch this trend
Chadema
Chaggademus
Chakademus
Chakandumuz
Chakanunduzzz
Somo analeta chakanunduzzz very soon
Sasa ni hoja ya kukosa strategic prioritiesHizo hoja za ukabila CHADEMA zilishayeyuka zamani kama za Msigwa kuondoka CDM kwa sababu ya Mbowe😆😆😁
Kuweni na haruma na vijana wa kitanzania hawa watu wenye miaka 80 mnapigia chapuo ili iwe nini? Wapumzike majumbani ni muda wa kucheza na wajukuu....Dr Slaa ingependeza zaidi kama atarudi bungeni.
Mleta mada hajawahi mwita Dr Slaa msaliti,Hujanielewa
I was taking a Mickey out of mleta hoja
Kuna wakati mleta hoja alisema dlaa ni msaliti, sasa anasema ndiye jero wa prado mikubwa
Ukitag madeni, ambayo chakandumuz wanayapigia kelele utasikia Wana Adili narrative
It’s easier to play with chakandumuz because they don’t have any agenda
Soon watakua chakanunduz
Weka ushahidi wa kupinga hapa. Isitoshe ujenzi wa bwawa ulikuwa na ripoti ya kitaalamu kuwa si sahihi ujenzi huo kufanywa eneo lile. Na ripoti hiyo iliwakilishwa na January Makamba akiwa waziri ya Mazingira. Je January naye alikuwa mpinzani? Hiyo ripoti iliandikwa na wapinzani?Ujenzi wa bwawa la umeme hamkumpinga?
Mzee wa miaka 70 ambaye aliasi upadre wa Roman Catholic atawaidia nini? Mzee aliyeshindwa kuishi na mke wa lwanza mwenye watoto alozaa akiwa Padre hana mchango wowote?Helow!