PreGE2025 Ujio wa Dkt. Slaa umerejesha nguvu ya CHADEMA kanda ya ziwa

PreGE2025 Ujio wa Dkt. Slaa umerejesha nguvu ya CHADEMA kanda ya ziwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Weka ushahidi wa kupinga hapa. Isitoshe ujenzi wa bwawa ulikuwa na ripoti ya kitaalamu kuwa si sahihi ujenzi huo kufanywa eneo lile. Na ripoti hiyo iliwakilishwa na January Makamba akiwa waziri ya Mazingira. Je January naye alikuwa mpinzani? Hiyo ripoti iliandikwa na wapinzani?
OK, n maafa yapi yametokea kutokana na lile bwawa?
 
Kamba hapaswi kuchukuliwa kama ushahidi maana ni team moja na wauza generators na mafuta.

Hili suala la Pinga Pinga kwenye mambo yenye naslah mapana ya nchi isijirudie Tena.

Nchi ni yetu sote,

Tuipende.
 
Mleta mada hajawahi mwita Dr Slaa msaliti,

Dr Slaa ni mzalendo, nimeandika sana kuhusu kurejea CDM
Hahahaaaaaaa

Unafiq utawaua

When slaa diffused issue ya Lissu you were up in arms

You need Jesus
 
Hahahaaaaaaa

Unafiq utawaua

When slaa diffused issue ya Lissu you were up in arms

You need Jesus
Sasa Lissu amesamehe na alipigwa risasi?,

U nani WEWE kumhukumu Slaa ilhal hujawahi kutollewa tu hata ngeu?
 
Kanda ya Ziwa haijawai kuteteleka kwa kutokuwepo kwa slaa, Kanda ya Ziwa Chadema ipo Imara wakati Wote, na. Wanampenda Lissu kuliko kiongozi yoyote wa Chadema

Kaa kwa kutulia hizo sifa unazotaka kumpa slaa ni za mchongo
 
Kamba hapaswi kuchukuliwa kama ushahidi maana ni team moja na wauza generators na mafuta.

Hili suala la Pinga Pinga kwenye mambo yenye naslah mapana ya nchi isijirudie Tena.

Nchi ni yetu sote,

Tuipende.
Huyo jamaa hawezi kuelewa, tatizo lao hawa wakiona mtu anawapinga wanamuona huyo mtu kama adui yao.
 
Nimeelewa,

Kupinga mazuri ya magu aliyocopy kwenye ilani ya CHADEMA ulikuwa ni upinzani uchwara.

Walishatubu na kusamehewa ndomana Dr Slaa kiungo karejea.

Hutosikia pinga pinga isiyokua na mashiko Tena.

Ni hoja bin hoja!
Tushukuru sana Mungu kwa kuliondoa lile dude
 
Hao hawaeleweki ndo maana hata kwenye uchaguzi huwa hatuwaelewi
Ila Chadema bhana 😂
Unasema JPM alicopy ilani yenu afu mkaanza kumpinga baada ya kuanza kuyafanya hayo ambayo yapo kwenye ilani yenu 😂
 
Kanda ya Ziwa haijawai kuteteleka kwa kutokuwepo kwa slaa, Kanda ya Ziwa Chadema ipo Imara wakati Wote, na. Wanampenda Lissu kuliko kiongozi yoyote wa Chadema

Kaa kwa kutulia hizo sifa unazotaka kumpa slaa ni za mchongo
Ziara za CHADEMA kanda ya maji hivi karibuni wakati wa ndoa haramu ya mkt aliyepita na watawala haikuwa ya kuridhisha.
 
Sipo chama chochote pia, ila week iliyopita kuna habari humu mwanamke kapigwa Mbeya huko na walinzi wa Heche.
Kwanini apigwe, aliomba kutoa mada yake tu.
Na baada ya kutolewa nje akatuma mesage kwa huyo jamaa ndio akaenda kupigwa.
Hawa ukute wamelala huko na ujinga wao wamekuja kupiga maporojo pale.
Chama cha wahuni
Chama cha wahuni lakin kinakunyima usingizi. Ukiitwa Bashite utabisha?
 
Mimi sirudi. Kutofungamana na chama chochote inanitosha kabisaa.
Hakuna kitu kama hicho,

Assume ni ndoa, unawezaze KUISHI bila kufungamana na upande wote ukatoboa?

Acha makasiriko, Lissu aliyepigwa risasi, amemsamehe Dr Slaa,

U nani WEWE ubaki na kisirani?
 
Dude ni ccm ambalo bado lipo mamlakani,

Utekaji, wizi wa Mali za umma unaendelea kama kawaida,

Ukiamka toka usingizini, ni jambo jema sana.
Ccm itatoka tu madarakani. Lakini kwa sasa bora Mungu aliliua lile dude, tungekwisha wote
 
OK, n maafa yapi yametokea kutokana na lile bwawa?
Kawaulize walioandika ripoti, ila sio mara moja au 2 mafuriko yametokea kwenye mji wa rufiji kutokana na hilo bwawa. Mimi nilichotaka ni ww kuweka ushahidi wa cdm kupinga ujenzi wa hilo bwawa. Huenda ulikuwa bendera fuata upepo, wale wa kuwa wapinzani wanapinga kila kitu, ukiambiwa weka ushahidi wa kupinga kila kitu huna.
 
Dude ni ccm ambalo bado lipo mamlakani,

Utekaji, wizi wa Mali za umma unaendelea kama kawaida,

Ukiamka toka usingizini, ni jambo jema sana.
Kwa huu utekaji na mauaji alaumiwe yeye maana yeye ndo kaja kuuchochea zaidi, na kaleta uchawa wa kijinga magufuli kachangia % kubwa sana kuharibu hii nchi
 
Back
Top Bottom