PreGE2025 Ujio wa Dkt. Slaa umerejesha nguvu ya CHADEMA kanda ya ziwa

PreGE2025 Ujio wa Dkt. Slaa umerejesha nguvu ya CHADEMA kanda ya ziwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kumbe kupotea kwa Soka sa100 hahusiki,

Au sababu ni dini moja nawe?
Mimi sijui kama anahusika au lah, kuhusu dini mimi sina ushirika na majini na wala sisubiri mabikra 72 na mito ya pombe na asali.
 
Mimi sijui kama anahusika au lah, kuhusu dini mimi sina ushirika na majini na wala sisubiri mabikra 72 na mito ya pombe na asali.
Saaa Iweje Magu awe muovu na sa100 awe malaika ilhali maisha ya watu yanapotea wakiwa viongozi isivyo sahihi kikatiba?

Unajielewa?
 
Saaa Iweje Magu awe muovu na sa100 awe malaika ilhali maisha ya watu yanapotea wakiwa viongozi isivyo sahihi kikatiba?

Unajielewa?
Hakuna sehemu nimesema sa100 ni malaika, hata yeye ana madhaifu kama binadamu wengine. Nachotaka kusema mi kuwa jiwe alizidi uovu mpaka Mungu akaingilia kati
 
Kawaulize walioandika ripoti, ila sio mara moja au 2 mafuriko yametokea kwenye mji wa rufiji kutokana na hilo bwawa. Mimi nilichotaka ni ww kuweka ushahidi wa cdm kupinga ujenzi wa hilo bwawa. Huenda ulikuwa bendera fuata upepo, wale wa kuwa wapinzani wanapinga kila kitu, ukiambiwa weka ushahidi wa kupinga kila kitu huna.
Nljua tu utakuja kweny ishu ya mafuriko, ila kule mafuriko yalikuwepo hata kabla ya hilo bwawa
 
Nljua tu utakuja kweny ishu ya mafuriko, ila kule mafuriko yalikuwepo hata kabla ya hilo bwawa
Ni tofauti na baada ya ujenzi wa bwawa. Hata hivyo sio hoja yangu ilipo baina yangu na ww. Nataka uweke ushahidi wa cdm wakipinga ujenzi wa hilo bwawa, nje ya ripoti ya kitaalamu, na walisema nini.
 
Ila Chadema bhana 😂
Unasema JPM alicopy ilani yenu afu mkaanza kumpinga baada ya kuanza kuyafanya hayo ambayo yapo kwenye ilani yenu 😂
Walipinga karibu kila kitu hapo,
Ndege, JNPP, SGR ila leo wanasema walicopy kwao
 
Sasa maswala la kuoa na wewe kujiita bashite wapi na wapi? Usijiite bashite sema akili zako ni kama za Bashite
Nani kaanza kumuita bashite hapa.huyo unamuita bashite hapa ni nani? Mi simjui ila najua umemlenga nani.
Kwenye hii mada kwanini uhusishe jina la mtu asiyehusika hapa.
I rest my case and in the matter of fact your wrong.
 
Hakuna sehemu nimesema sa100 ni malaika, hata yeye ana madhaifu kama binadamu wengine. Nachotaka kusema mi kuwa jiwe alizidi uovu mpaka Mungu akaingilia kati
Jiwe hakuuza bandari,na mbuga zetu kwa waarabu,

Sasa UOVU kumbe una ubaguzi sio!

UOVU
 
Hakuna kitu kama hicho,

Assume ni ndoa, unawezaze KUISHI bila kufungamana na upande wote ukatoboa?

Acha makasiriko, Lissu aliyepigwa risasi, amemsamehe Dr Slaa,

U nani WEWE ubaki na kisirani?
Kwa mtazamo wako hakuna kitu kama hicho, kwa mtazamo wangu hicho kitu kipo na kinawezekana.
 
Magufuli hakupingwa kwa kutekeleza yaliyo sahihi usilete upotoshaji usio na tija. Magufuli alipingwa kwa udictator wake kwa kutaka kuonyesha kila kitu ameanza kufanya yeye, na kutaka watu wote wawe wanaccm ili ionekane ccm chini yake iliimarika.
Wewe ndiye unaleta upotoshaji. Tundu lisu ndiye alianzisha pingapinga ya kupinga kila kitu kwa madai kuwa chadema mtaishiwa cha kuwaambia wananchi.
Bwashee usifikiri kuwa wote tumesahau.
 
Wewe ndiye unaleta upotoshaji. Tundu lisu ndiye alianzisha pingapinga ya kupinga kila kitu kwa madai kuwa chadema mtaishiwa cha kuwaambia wananchi.
Bwashee usifikiri kuwa wote tumesahau.
Hatukuwa nje ya nchi boss, ama unadhabi kipindi cha dhalimu magu mlikuwepo nyie chawa wake tu?
 
Hatukuwa nje ya nchi boss, ama unadhabi kipindi cha dhalimu magu mlikuwepo nyie chawa wake tu?
Wewe ndiye unadhani watu wote tumeugua ugonjwa wa kusahau. Mr dishi limeyumba ndiye alianzisha huo ujinga wa pingapinga, na nyumbu wote mkafuata bila hata kuchanganya na zenu. Hatujasau bado.
 
Wewe ndiye unadhani watu wote tumeugua ugonjwa wa kusahau. Mr dishi limeyumba ndiye alianzisha huo ujinga wa pingapinga, na nyumbu wote mkafuata bila hata kuchanganya na zenu. Hatujasau bado.
Weka ushahidi hapa, usitake kuzungusha maneno.
 
Ushahidi wa nini kwa jambo lililo wazi? Kwani unadhani kamanda Dishi limeyumba anaitwa pingapinga kwa noni?
Ww ni bendera fuata upepo, ni wale mliocheza propaganda ya kuwa wapinzani wanapinga kila kitu, lakini ukiambiwa uweke ushahidi wa wapinzani kupinga kila kitu huna. Mfano halisi ni kwenye jambo hili.
 
Binafsi sielewi kwanini hawa Chadema especially huyu Lissu hawalioni hilo.

Hizo ni kura nyingi sana kwa mamilioni ambazo bado inaonekana hawazioni ama hawazitaki.

Kwa wanachoendelea kufanya unaweza kudhani labda nao tu ni mawakala wa upande wa pili.
Inashangaza. Kitu cha kwanza lazima ujue unaongea na nani, kwa lugha gani, akuelewe ili akuunge mkono.

Watu wetu wengi ni simple people, wanapambana na vitu vidogo kama kupata chakula, ajira, haki, kupata huduma ya afya, kusafirisha mazao yao yafike sokoni, kuwasomesha watoto wao, wanapambana kutodhulumiwa viwanja vyao, nyumba zao, mashamba yao na viongozi wa CCM na serikali.

Sasa strategy yako iwe kuongea nao kwa lugha yao, lugha wanayoijua, lugha ya kutatatua matatizo yao. 70-80 % ya hotuba yako ilenge huko.


Ukiwaambia JPM alikuwa mtu mbaya wanaangalia maisha yao sera zake ziliwasaidia sana kujikomboa kiuchumi.

Ukiwaambia katiba mpya, tume huru ni vitu muhimu wanakubali lakini unapoteza muda muhimu, una dakika 60, 120 kuongea na watu, waambie kwanza utafanyaje kuhusu changamoto zao kama ufisadi, changamoto kwenye masoko, bei za umeme, afya, maji, kodi, tozo, ufisadi, rushwa, nidhamu serikalini.

JPM alichukua sera za CDM, 2015 akachaguliwa. CDM ilipendwa kwa ajili ya kupinga ufisadi, rushwa, wizi wa mali za umma. Ilikuwa simple message lakini very effective. Ilipendwa sana.
 
Ww ni bendera fuata upepo, ni wale mliocheza propaganda ya kuwa wapinzani wanapinga kila kitu, lakini ukiambiwa uweke ushahidi wa wapinzani kupinga kila kitu huna. Mfano halisi ni kwenye jambo hili.
Kadanganye nyumbu wenzako wadogo ambao hawakuwepo wakati huo.
 
Back
Top Bottom