Hakuna aliyesababisha tukakopa sana ili kukamilisha miradi.
Kila siku nauliza, miradi hiyo mnayoitaja kila leo kuwa ndo sababu ya kukopa ni ipi? Gharama yake halisi ni ipi na kama kuna malipo ya awali yalishafanyika ni kiasi gani, kiasi gani kilibaki?
Haiwezekani mnakopa nusu ya bajeti ya nchi ndani ya mwaka mmoja(15trln) halafu mseme ni miradi, ipi?
Kwenye utawala wenu, mkopa hivi
- 1st yr 13trln av
- 2nd yr 13trln av
- 3rd yr 13trln av
- 4th yr 15trln av
Sasa tuambieni, about 54 trilion zimelipia miradi gani? Na msiseme kabisa miradi ambayo inapaswa kuwa chini ya bajeti za wizara na ile inayopaswa kufadhiliwa na tozo mlizoanzisha.

Hawa ni wezi , they cannot account for all those loans!! Wataleta longo longo nyingi nyingi kutaka kufunika uvundo wao!!