Huku tayari kumekucha,Unaota ukiwa wapi kamanda?!!!!
Ni kweli,Ila Chadema bhana 😂
Unasema JPM alicopy ilani yenu afu mkaanza kumpinga baada ya kuanza kuyafanya hayo ambayo yapo kwenye ilani yenu 😂
Umeelewa nilichokiandika?Ni kweli,
Ununuzi wa treni ya.umeme haikuwa ndani ya ilani ya ccm!
Dr Slaa a.elisemea hili kitambo sana.
Mi nipo Huku kibaigwa kamanda, watu wako busy wanakimbilia pembejeo za Samia wakajivunie alizeti. Wanatamani nanyi miamke huko mlikolala.Huku tayari kumekucha,
Wapi ulipo weye!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umeelewa nilichokiandika?
Nimeelewa,Umeelewa nilichokiandika?
Uliyemtaja anajua jembe linashikwaje?Mi nipo Huku kibaigwa kamanda, watu wako busy wanakimbilia pembejeo za Samia wakajivunie alizeti. Wanatamani nanyi miamke huko mlikolala.
🤝Nimeelewa,
Kupinga mazuri ya magu aliyocopy kwenye ilani ya CHADEMA ulikuwa ni upinzani uchwara.
Walishatubu na kusamehewa ndomana Dr Slaa kiungo karejea.
Hutosikia pinga pinga isiyokua na mashiko Tena.
Ni hoja bin hoja!
Mimi sirudi. Kutofungamana na chama chochote inanitosha kabisaa.Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake
Magufuli hakupingwa kwa kutekeleza yaliyo sahihi usilete upotoshaji usio na tija. Magufuli alipingwa kwa udictator wake kwa kutaka kuonyesha kila kitu ameanza kufanya yeye, na kutaka watu wote wawe wanaccm ili ionekane ccm chini yake iliimarika.Ila Chadema bhana 😂
Unasema JPM alicopy ilani yenu afu mkaanza kumpinga baada ya kuanza kuyafanya hayo ambayo yapo kwenye ilani yenu 😂
Kumpinga magufuli na sera zake ni kujinyima kura, ushawishi, kuungwa mkono kwa mamilioni, nusu ya Watanzania hasa vijijini wasio na vyama hata ndani ya CDM na CCM.. Sio sera rafiki kuitoa CCM madarakani.Nimeelewa,
Kupinga mazuri ya magu aliyocopy kwenye ilani ya CHADEMA ulikuwa ni upinzani uchwara.
Walishatubu na kusamehewa ndomana Dr Slaa kiungo karejea.
Hutosikia pinga pinga isiyokua na mashiko Tena.
Ni hoja bin hoja!
Kwahiyo dr slaa ndio aliyesababisha tukakopa sana ilo kukamilisha hoyo miradi?Helow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo lilimlazimu hayati Magufuli kukopi ilani ya CHADEMA na kutekeleza baadhi ya maono yao ikiwemo :
1. Ujenzi wa sgr,
2.Ununuzi wa teni za umeme,
3.Ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere,
4. Ununuzi wa ndege kuimarisha utalii nk nk!
Ujio huu unaamsha Tena harakati ziizofifishwa na viongozi wa chama waliopita kwa kuamua kuridhiana na ccm .
Time huru ya uchaguzi na katiba mpya vitapatikana kwa kuwa wananchi wa kanda ya maji watarudi kushirikiana na watanzania wazalendo toka kanda zingine kuleta Tena tumaini jipya.
Lile kundi lililobezwa na kupewa jina baya, limepata pa kwenda sasa.
Mungu mbariki Mwanamikakati Dr Slaa,
Mungu ibariki CHADEMA,
Mungu ibariki Tanganyika.
Nawasiiisha.
Mlevi ni nani?Siasa zisizoeleweka mnapiga makelele tu.
hapo mna wagonjwa watatu kuanzia mwenyekiti, na yule mlevi mmempiga wenyewe .
FM anawachungulia tu kule kapiga kimya anajua anachofanya.
Huyo mama kwenye video aliepigwa na bouncer wa Heche si mmesema alikua kalewa.Mlevi ni nani?
Hakuna aliyesababisha tukakopa sana ili kukamilisha miradi.Kwahiyo dr slaa ndio aliyesababisha tukakopa sana ilo kukamilisha hoyo miradi?
Basi sawa