Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
Sipo Chadema waka CCM sijaiona hiyo video. Ni ujinga kujipa lebo naongea kuhusu maslahi ya Tanganyika wakati CCM ni kikundi cha watu wachache. CCM haipiganii tena maslahi ya Taifa wanapigania kundi flani lenye nguvu ndani ya chama na machawa wao.Huyo mama kwenye video aliepigwa na bouncer wa Heche si mmesema alikua kalewa.
Asipojua hainihusu Wala haimsumbui kwa sababu uwezo anao, Mimi na wewe lazima lazima tujue kumshika jembe sababu tuna njaa. Kukandia na kuzushia waliovarikiwa (kwa hatua hii) haitusaidiiUliyemtaja anajua jembe linashikwaje?
Sipo chama chochote pia, ila week iliyopita kuna habari humu mwanamke kapigwa Mbeya huko na walinzi wa Heche.Sipo Chadema waka CCM sijaiona hiyo video. Ni ujinga kujipa lebo naongea kuhusu maslahi ya Tanganyika wakati CCM ni kikundi cha watu wachache.
Hakuna aliyesababisha tukakopa sana ili kukamilisha miradi.
Kila siku nauliza, miradi hiyo mnayoitaja kila leo kuwa ndo sababu ya kukopa ni ipi? Gharama yake halisi ni ipi na kama kuna malipo ya awali yalishafanyika ni kiasi gani, kiasi gani kilibaki?
Haiwezekani mnakopa nusu ya bajeti ya nchi ndani ya mwaka mmoja(15trln) halafu mseme ni miradi, ipi?
Kwenye utawala wenu, mkopa hivi
- 1st yr 13trln av
- 2nd yr 13trln av
- 3rd yr 13trln av
- 4th yr 15trln av
Sasa tuambieni, about 54 trilion zimelipia miradi gani? Na msiseme kabisa miradi ambayo inapaswa kuwa chini ya bajeti za wizara na ile inayopaswa kufadhiliwa na tozo mlizoanzisha.
Hawa ni wezi , they cannot account for all those loans!! Wataleta longo longo nyingi nyingi kutaka kufunika uvundo wao!!Hakuna aliyesababisha tukakopa sana ili kukamilisha miradi.
Kila siku nauliza, miradi hiyo mnayoitaja kila leo kuwa ndo sababu ya kukopa ni ipi? Gharama yake halisi ni ipi na kama kuna malipo ya awali yalishafanyika ni kiasi gani, kiasi gani kilibaki?
Haiwezekani mnakopa nusu ya bajeti ya nchi ndani ya mwaka mmoja(15trln) halafu mseme ni miradi, ipi?
Kwenye utawala wenu, mkopa hivi
- 1st yr 13trln av
- 2nd yr 13trln av
- 3rd yr 13trln av
- 4th yr 15trln av
Sasa tuambieni, about 54 trilion zimelipia miradi gani? Na msiseme kabisa miradi ambayo inapaswa kuwa chini ya bajeti za wizara na ile inayopaswa kufadhiliwa na tozo mlizoanzisha.
Tunawasubiri kwa hamu kubwa huku Kanda DumeNinachokiongea sasa kitadhihirika tundu lisu na Dr Slaa watapofika kanda ya maji.
Alipingwa kwa udikteta na kuua demokrasia hayo mengi tulimuunga mkono.Ila Chadema bhana 😂
Unasema JPM alicopy ilani yenu afu mkaanza kumpinga baada ya kuanza kuyafanya hayo ambayo yapo kwenye ilani yenu 😂
Dogo tangu lini tumekuchagua kuwa "Msemaji" wetu watu wa Kanda ya Ziwa? Kwani Dk. Slaa aliwahi kunisaidia kanda hii hadi tumuone ndio mwokozi wetu? Au ni kiherehere cha kujipendekeza kwetu baada ya kuona Chadema haikubariki tena hii kanda? Kwa taarifa yako, wengi wetu tupo na mrithi wa Mwamba, Jiwe Magufuli nae si mwingine ni Mama Samia Suluhu Hassan! Mitano tena!!!Helow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo lilimlazimu hayati Magufuli kukopi ilani ya CHADEMA na kutekeleza baadhi ya maono yao ikiwemo :
1. Ujenzi wa sgr,
2.Ununuzi wa teni za umeme,
3.Ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere,
4. Ununuzi wa ndege kuimarisha utalii nk nk!
Ujio huu unaamsha Tena harakati ziizofifishwa na viongozi wa chama waliopita kwa kuamua kuridhiana na ccm .
Time huru ya uchaguzi na katiba mpya vitapatikana kwa kuwa wananchi wa kanda ya maji watarudi kushirikiana na watanzania wazalendo toka kanda zingine kuleta Tena tumaini jipya.
Lile kundi lililobezwa na kupewa jina baya, limepata pa kwenda sasa.
Mungu mbariki Mwanamikakati Dr Slaa,
Mungu ibariki CHADEMA,
Mungu ibariki Tanganyika.
Nawasiiisha.
Ujenzi wa umeme hamkumpinga kuwa utaharibu mazingira na mkapanga kumshtaki kimataifa?Alipingwa kwa udikteta na kuua demokrasia hayo mengi tulimuunga mkono.
Ujenzi wa bwawa la umeme hamkumpinga?Magufuli hakupingwa kwa kutekeleza yaliyo sahihi usilete upotoshaji usio na tija. Magufuli alipingwa kwa udictator wake kwa kutaka kuonyesha kila kitu ameanza kufanya yeye, na kutaka watu wote wawe wanaccm ili ionekane ccm chini yake iliimarika.
Alijigeuza adui wa cdm siku ya kwanza kabisa alipoingia kuhutubia bunge kisha wapinzani wakatoka kuonyesha kutokubaliana na kilichotokea uchaguzi wa Zanzibar. Toka siku hiyo aliwaletea wapinzani siasa za uhasama, na wapinzani hawakuwa na sababu ya kujinyenyekeza kwa mtu aliyetaka kuwapoteza.
Hamtavuna , kwa kua mmeonesha ubinafsi kana kwamba mambo ya nchi ayawahusu , kama inchi ipo chini ya Mungu basi na kwa kua mmeonesha ubinafsi hamtavuna asema BwanaMi nipo Huku kibaigwa kamanda, watu wako busy wanakimbilia pembejeo za Samia wakajivunie alizeti. Wanatamani nanyi miamke huko mlikolala.
Mrithi wa Magu ni Mlawi, JG.Dogo tangu lini tumekuchagua kuwa "Msemaji" wetu watu wa Kanda ya Ziwa? Kwani Dk. Slaa aliwahi kunisaidia kanda hii hadi tumuone ndio mwokozi wetu? Au ni kiherehere cha kujipendekeza kwetu baada ya kuona Chadema haikubariki tena hii kanda? Kwa taarifa yako, wengi wetu tupo na mrithi wa Mwamba, Jiwe Magufuli nae si mwingine ni Mama Samia Suluhu Hassan! Mitano tena!!!
Hayupo wa kumzuia,Dr Slaa ingependeza zaidi kama atarudi bungeni.
Sahihi.Ninachokiongea sasa kitadhihirika tundu lisu na Dr Slaa watapofika kanda ya maji.
Aliye leta hoja ya kupinga alikuwa Nape wa CCM na Zitto Kabwe wa ACT WazalendoUjenzi wa umeme hamkumpinga kuwa utaharibu mazingira na mkapanga kumshtaki kimataifa?
Huyu mwenyekiti wenu wa sasa hakupinga ule mradi?Aliye leta hoja ya kupinga alikuwa Nape wa CCM na Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo
Weka ushahidiHuyu mwenyekiti wenu wa sasa hakupinga ule mradi?
Unalijua ,ni llile mzalendo wao badala ya kuitwa hayati, walimwita mwendazake kwa kejeli,Sahihi.
Unamaanisha nini kusema lile Kundi lililobezwa?