PreGE2025 Ujio wa Dkt. Slaa umerejesha nguvu ya CHADEMA kanda ya ziwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kwamba kizee chenye laana ya tamaa, usaliti na uporaji wake za watu kimeongeza nguvu chadema?

hiyo nguvu ni ya tamaa, laana au usaliti gentleman?🐒
 
Padri mzinifu,Malaya wa kisiasa alikula CCM,akala CHADEMA ,akala CCM Sasa anakula CHADEMA huyo haaminiki na watu wenyeakili.Kwa staili hii CCM itaendelea kushika dola milele
 
Padri mzinifu,Malaya wa kisiasa alikula CCM,akala CHADEMA ,akala CCM Sasa anakula CHADEMA huyo haaminiki na watu wenyeakili.Kwa staili hii CCM itaendelea kushika dola milele
Dr Slaa ni mkweli na mnyoofu.

WEWE endellea kukaa chama kimoja na rost tamu.
 
CHADEMA MMEANZA KUPIGA WANAWAKE WANAWAKE NI JESHI KUBWA.MMEJIONDOLEA CREDITS
Yule kiongozi wa CHADEMA aliyetekwa na kuvuliwa nguo na kutelekezwa.

Alitekwa na nani?
 
Bado Josephine mushumbusi, hapo timu itakuwa kamili.
 
Nataka niione kanda ya kati safari hii itakavyozizima kwasababu viongozi wawili waandamizi wa CHADEMA wanatoka huko Jemadari Tundu Lissu na Jemadari Deo Mahinyila.
 
Nataka nione kanda ya kati safari hii itakavyozizima kwasababu viongozi wawili wanatoka waandamizi wa CHADEMA wanatoka huko Jemadari Tundu Lissu na Jemadari Deo Mahinyila.
No reform s no election.

Hii ni dream come true,

Tumepambania kitu hili long time, tukawa tunaulizwa humu kwa kejeli kwamba WEWE u nani uzuie uchaguzi usifanyike!

Saaa itafahamika!
 
Hujanielewa

I was taking a Mickey out of mleta hoja

Kuna wakati mleta hoja alisema dlaa ni msaliti, sasa anasema ndiye jero wa prado mikubwa

Ukitag madeni, ambayo chakandumuz wanayapigia kelele utasikia Wana Adili narrative

It’s easier to play with chakandumuz because they don’t have any agenda

Soon watakua chakanunduz
 
Nataka nione kanda ya kati safari hii itakavyozizima kwasababu viongozi wawili waandamizi wa CHADEMA wanatoka huko Jemadari Tundu Lissu na Jemadari Deo Mahinyila.
Watch this trend
Chadema
Chaggademus
Chakademus
Chakandumuz
Chakanunduzzz

Somo analeta chakanunduzzz very soon
 
Watch this trend
Chadema
Chaggademus
Chakademus
Chakandumuz
Chakanunduzzz

Somo analeta chakanunduzzz very soon
Hizo hoja za ukabila CHADEMA zilishayeyuka zamani kama za Msigwa kuondoka CDM kwa sababu ya Mbowe😆😆😁
 
Hizo hoja za ukabila CHADEMA zilishayeyuka zamani kama za Msigwa kuondoka CDM kwa sababu ya Mbowe😆😆😁
Sasa ni hoja ya kukosa strategic priorities

Tumebaki na ndumu
 
Mleta mada hajawahi mwita Dr Slaa msaliti,

Dr Slaa ni mzalendo, nimeandika sana kuhusu kurejea CDM
 
Ujenzi wa bwawa la umeme hamkumpinga?
Weka ushahidi wa kupinga hapa. Isitoshe ujenzi wa bwawa ulikuwa na ripoti ya kitaalamu kuwa si sahihi ujenzi huo kufanywa eneo lile. Na ripoti hiyo iliwakilishwa na January Makamba akiwa waziri ya Mazingira. Je January naye alikuwa mpinzani? Hiyo ripoti iliandikwa na wapinzani?
 
Mzee wa miaka 70 ambaye aliasi upadre wa Roman Catholic atawaidia nini? Mzee aliyeshindwa kuishi na mke wa lwanza mwenye watoto alozaa akiwa Padre hana mchango wowote?

Mzee aliyehama CHADEMA kwenda Canada baada ya kununuliwa na Magufuli kama malaya na kisha kupewa ubalozi wa Sweden atawaongezea nguvu gani?

Mzee ambaye hata huyo mke wa pili Mushumbushi amebakia kuishi Canada baada ya ubalozi wa Slaa kuisha atawapa nguvu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…