OK, n maafa yapi yametokea kutokana na lile bwawa?Weka ushahidi wa kupinga hapa. Isitoshe ujenzi wa bwawa ulikuwa na ripoti ya kitaalamu kuwa si sahihi ujenzi huo kufanywa eneo lile. Na ripoti hiyo iliwakilishwa na January Makamba akiwa waziri ya Mazingira. Je January naye alikuwa mpinzani? Hiyo ripoti iliandikwa na wapinzani?
Kamba hapaswi kuchukuliwa kama ushahidi maana ni team moja na wauza generators na mafuta.Weka ushahidi wa kupinga hapa. Isitoshe ujenzi wa bwawa ulikuwa na ripoti ya kitaalamu kuwa si sahihi ujenzi huo kufanywa eneo lile. Na ripoti hiyo iliwakilishwa na January Makamba akiwa waziri ya Mazingira. Je January naye alikuwa mpinzani? Hiyo ripoti iliandikwa na wapinzani?
HahahaaaaaaaMleta mada hajawahi mwita Dr Slaa msaliti,
Dr Slaa ni mzalendo, nimeandika sana kuhusu kurejea CDM
Sasa Lissu amesamehe na alipigwa risasi?,Hahahaaaaaaa
Unafiq utawaua
When slaa diffused issue ya Lissu you were up in arms
You need Jesus
Huyo jamaa hawezi kuelewa, tatizo lao hawa wakiona mtu anawapinga wanamuona huyo mtu kama adui yao.Kamba hapaswi kuchukuliwa kama ushahidi maana ni team moja na wauza generators na mafuta.
Hili suala la Pinga Pinga kwenye mambo yenye naslah mapana ya nchi isijirudie Tena.
Nchi ni yetu sote,
Tuipende.
Tushukuru sana Mungu kwa kuliondoa lile dudeNimeelewa,
Kupinga mazuri ya magu aliyocopy kwenye ilani ya CHADEMA ulikuwa ni upinzani uchwara.
Walishatubu na kusamehewa ndomana Dr Slaa kiungo karejea.
Hutosikia pinga pinga isiyokua na mashiko Tena.
Ni hoja bin hoja!
Ila Chadema bhana 😂
Unasema JPM alicopy ilani yenu afu mkaanza kumpinga baada ya kuanza kuyafanya hayo ambayo yapo kwenye ilani yenu 😂
Ziara za CHADEMA kanda ya maji hivi karibuni wakati wa ndoa haramu ya mkt aliyepita na watawala haikuwa ya kuridhisha.Kanda ya Ziwa haijawai kuteteleka kwa kutokuwepo kwa slaa, Kanda ya Ziwa Chadema ipo Imara wakati Wote, na. Wanampenda Lissu kuliko kiongozi yoyote wa Chadema
Kaa kwa kutulia hizo sifa unazotaka kumpa slaa ni za mchongo
Chama cha wahuni lakin kinakunyima usingizi. Ukiitwa Bashite utabisha?Sipo chama chochote pia, ila week iliyopita kuna habari humu mwanamke kapigwa Mbeya huko na walinzi wa Heche.
Kwanini apigwe, aliomba kutoa mada yake tu.
Na baada ya kutolewa nje akatuma mesage kwa huyo jamaa ndio akaenda kupigwa.
Hawa ukute wamelala huko na ujinga wao wamekuja kupiga maporojo pale.
Chama cha wahuni
Dude ni ccm ambalo bado lipo mamlakani,Tushukuru sana Mungu kwa kuliondoa lile dude
Hakuna kitu kama hicho,Mimi sirudi. Kutofungamana na chama chochote inanitosha kabisaa.
Ccm itatoka tu madarakani. Lakini kwa sasa bora Mungu aliliua lile dude, tungekwisha woteDude ni ccm ambalo bado lipo mamlakani,
Utekaji, wizi wa Mali za umma unaendelea kama kawaida,
Ukiamka toka usingizini, ni jambo jema sana.
Kawaulize walioandika ripoti, ila sio mara moja au 2 mafuriko yametokea kwenye mji wa rufiji kutokana na hilo bwawa. Mimi nilichotaka ni ww kuweka ushahidi wa cdm kupinga ujenzi wa hilo bwawa. Huenda ulikuwa bendera fuata upepo, wale wa kuwa wapinzani wanapinga kila kitu, ukiambiwa weka ushahidi wa kupinga kila kitu huna.OK, n maafa yapi yametokea kutokana na lile bwawa?
Kama bashite aliwahi kumuoa babayako then itapendeza tu ukiniita hivyoChama cha wahuni lakin kinakunyima usingizi. Ukiitwa Bashite utabisha?
Kwa huu utekaji na mauaji alaumiwe yeye maana yeye ndo kaja kuuchochea zaidi, na kaleta uchawa wa kijinga magufuli kachangia % kubwa sana kuharibu hii nchiDude ni ccm ambalo bado lipo mamlakani,
Utekaji, wizi wa Mali za umma unaendelea kama kawaida,
Ukiamka toka usingizini, ni jambo jema sana.
Dude ni CCM.Ccm itatoka tu madarakani. Lakini kwa sasa bora Mungu aliliua lile dude, tungekwisha wote
Sa1000 ana madhaifu yake, lakini jiwe alikuwa zaidi ya shetani.Dude ni CCM.
Soka na wenzie hawajukani walipo, je dude ni sa100?
Kumbe kupotea kwa Soka sa100 hahusiki,Sa1000 ana madhaifu yake, lakini jiwe alikuwa zaidi ya shetani.