Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hakuna mgogoro wowote wala tishio lolote la kiusalama, kwasababu DPW imepewa a security clearance, na wao ni operators only, ulinzi wa mipaka yetu bado jukumu la JWTZ, hivyo usiwe na wasiwasi kabisa!.Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
Hii ni vita ni wazanzibar na watanganyika usije ukajikuta siku muislam wa Tanganyika unafukuzwa Zanzibar watu wanaanda mazingiraHakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!
Sijui watu wataelewa lini; serikali ya kilaghai inayohimiza "Siasa za kistaaraabu", wakiwa na maana ya kulaghai na uongo kila wanacho kisema!Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.
Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.
Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!
Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
Naituma mahaliKuna siri kubwa kwenye huo mkataba. Ila kwa sababu Tanganyika wajinga ni wengi, tumeshindwa kushikamana dhidi ya umafya uliopangwa kwa umakini mkubwal na Wazanzibari.
Mkakati wa muda mrefu ni kwamba Wazanzibari wanasema pwani yote toka Mtwara hadi Pangani, kilometer 20 toka baharini kwenda bara, pamoja na kisiwa cha Kilwa, ni mali ya Zanzibar, kwa vile eneo hilo kabla ya utawala wa Wajerumani, lilitawaliwa na sultani.
Kwa hiyo kinachofanyika sasa, ni taratibu kulikabidhi eneo hilo kupitia uwekezaji uchwara wa Waarabu, (ndiyo maana IGA inasema kuwa eneo lolote ambalo DPW itataka, serikali itatakiwa kuwalipa fidia wahusika na kuwakabidhi DPW). Mkakati huo wa kuchukua ardhi kupitia IGA utaenda sambamba na ununuzi wa ardhi wa hao wageni kwenye maeneo mengine ya pwani. Hilo likikamilika, Zanzibar itajitenga na Muungano, na kudai eneo lote la pwani. Lakini pia sultani wa Oman alitamka wazi kuwa ndoto yake ni siku moja lazima makao yake yarudi kwenye eneo lake la kale, yaani Zanzibar.
Mmekaririshana hiko kichaka, maana nakisikia tangu nazaliwa. Kwahiyo we unayeongea hapa ndo mfano wa hao walioelimika, sio?!!!! Kama we ndo umesoma aisee basi nikwambie tu kuwa huko madrasa kuna elimu kubwa kuliko yako!!!Wengi wenu elimu hamna ndo shida pia hata mki elimika elimu huwa haingii
Mbona mi nakuona wewe ndo uliyekasirika balaa na kutokana na hiyo dp world na sababu kuu ni waarabu (mkihisi kuna uislamu ndani yake). Vimaneno maneno vya kukera vingiii vyenye chuki ndani......islamization of tz n.k hayakauki vinywani mwenu.Unajisikia Kama ulipuke fulani ivi kwa kumeza bomu.
Yaani wewe uliyeongea ndiye mwenye chuki na umefundishwa kumchukia asiyefungamana na unachoamini wewe ,unamuona Kama ataenda motoni. Muache tu aende motoni kwani wewe utapoteza Nini. Wewe kale pepo
We inaonekana unaotaKuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.
Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.
Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!
Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
Na bado wataenda hadi Mwanza, Kigoma, Kyela, Chato n.kKuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.
Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.
Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!
Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
Tuishie wapi tena. Kijakazi aliwahi chapisha tafisiri kwa kiswahili sijui kama bado ipo humu!!!Tuanzie hapo
Ukienda kwenye ofisi za umma, serikalini, Hilo liko dhahiri sanatotal islamization of tanzagiza …
Maza kashamaliza biashara kitamboKama una ndugu anafanya bandari za Mtwara na Tanga uliza nao wamepewa Tangazo ; sasa kama ni dar lot tatu tu kwanini kuwatangazia hadi wa mikoani ?
Hakuna hata kwa dawamtu kama huyo aliyevaa miwani ya udini unategemea ataona kasoro zilizipo kwenye mkataba?
TEC walipotoa tamko, walishambuliwa haswa.!!!Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.
Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.
Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!
Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.
Mkuu.. haya mambo ukijaribu kuyafikiria sana unaweza kukuta nywele zinanyonyoka...Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World.
Hii ni kinyume kabisa na mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati.
Ieleweke kuwa suala la kutoa Pwani nzima kwa DPW ni suala la usalama wa Taifa na Ulinzi, ni hatari sana ndio maaana kila mtu mwenye uzalendo alikataaa sasa kama walidanganya Taifa wakijua watawapeleka DPW hadi bandari zingine Tanzania basi tunaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana.
Kama mpango huo haupo Kuna haja gani ya wafanyakazi walioko vituo vya nje kama Tanga na Mtwara nao kuambiwa wasubiri kuwapokea?!
Kama haya yatadhibitika basi tumekubali kuuza uTaifa na utu wetu .
Mikafiri ni nani?Hakika mikafiri ina chuki kali aisee, hili nilikuwa sijalifikiria kamwe. Yaani ina hila za kila namna ili mradi tu wamchafue wasiyempenda. Ni miongo kupitiliza!!!