abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,422
- 2,301
Vitu bingine havihitaji kuwa profesa wa law, akitua tu anakatwa.Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.
Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.
Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.
Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Good thinkingKupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.
Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.
Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.
Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Mlishindwa kufanya siku Ile maakaman ambapo uongoz wa chadema nzima ulikua mle na yote kwa yote mkashindwa kufanya kitu ikaja wabunge wenu wamepigwa wengine mpaka wakavunjwa mikono bado hakufanya kitu mnajua kwa nn?Jaribuni kufanya hujuma yoyote muone tutakachowafanya!
This time liwalo na liwe, timu ipo timamu kujibu jino kwa jino either direct au indirect.
Kuweni makini Sana huu mwaka, narudia kuweni makini Sana huu mwaka! Tupo mlipo, tuna info zote, tutajibu "in kind"
Dogo amka sasa. Kumekucha. Usiendelee kuotaKupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.
Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.
Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.
Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Kabisa Lissu atatikisa sana na nafikiri ccm watatumia polisi kuzia watu wasimpokee, inabidi tuwazidi polisi nguvu.Kupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.
Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.
Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.
Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
Utakuwepo uwanja wa ndegeSo what?
Kwa nini nikoseUtakuwepo uwanja wa ndege
Toto la kima weweHehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Akili za LumumbaHehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Nitakutafuta tupige picha wote na babu yetu lissu.Kwa nini nikose
we ndo umeongea ukweli SasaπππππππHehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Muda utaongea... ama kusiwekwe vizuizi ili tuamini mkisemachoHehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Kwa sheria zetu za tanzania mualifu anapo onekana mbele ya police ni halali yao na atae jaribu kumterea mualifu basi atambue kua sheria ya tanzania itambana kwa sababu atakua anaziwia police kufanya Kaz yao