Watakuwepo wengi kumpokea ukiwemo wewe kama si kwenda physically utakuwa unafuatilia kwenye media. Hata boss atafuatilia vizuri tuHehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Muulize IGP wa Libya na Sudan ..nguvu ya umma ni zaidi yaoIGP anasubiri afike nchini
Mungu mbariki Sirro.Sirro atadhalilika sana kwenye hili
Siyo Lowassa tena? Au typo error!Kabisa wasitutafute tena watuache na RAIS WETU WA MIOYO Y WATU TL
Mmeacha kumsikiliza Lowassa /Membe?Sasa unataka wamsikilize nani zaidi ya TL au wamsikilize yule wa chato
Ushauri wa bure, viongozi wa Kamati Kuu ya CHADEMA waandae mapokezi yake kwa ustaarabu ili kuepusha vurugu na hakika wataonekana ni viongozi wapenda amani. Ila, Mh Mwenyekiti naye amekwisha kutangaza nia. KashesheKupitia mahojiano na Jenerali Ulimwengu (yanapatikana Jeneralioline twitter),Lissu ametamka bayana kuwa atarudi nchini mwezi huu na kwamba atashiriki katika kikao cha Baraza Kuu na Mkutano Mkuu wa Chama chake baadae mwezi huu.
Kufuatia ujio huo,inawezekana watu wengi wakajitokeza kutaka kumuona mwanasiasa huyu maarufu na ambae ni mhangaka wa shambulizi kubwa la kutumia mvua za risasi, hivyo lazima tahadhari zichukuliwe na busara itumike ikitokea kuna watu wanapanga kumkamata kwani kunaweza tokea stampede iwapo watu watakuwa tayari wamekusanyika kwa wingi iwe ni katika uwanja wa ndege au mahali pengine popote atapofikia kwa lengo la kuongea na wananchi au waandishi wa habari.
Kuna kila dalili umaarufu wa Lissu utaongezeka zaidi ndani na nje ya nchi kutokana tu na mistreatment anayoweza kuipata baada ya kuwasili na matukio mengine yatayotokana na ujio wake huo.
Ni hayo tu wakuu na sina la ziada.
BlessedJaribuni kufanya hujuma yoyote muone tutakachowafanya!
This time liwalo na liwe, timu ipo timamu kujibu jino kwa jino either direct au indirect.
Kuweni makini Sana huu mwaka, narudia kuweni makini Sana huu mwaka! Tupo mlipo, tuna info zote, tutajibu "in kind"
Yani majitu ya hila utadhani mashetani hii nchi tutaiharibu kwa Miko yet haki huinua taifa.Majaji wanapasha moto dhana, ngoja aingine na hivi ana makesi mengi
Uhalifu wa lisu ni upi? Na waliotaka kumuua ndio wema?Kwa sheria zetu za tanzania mualifu anapo onekana mbele ya police ni halali yao na atae jaribu kumterea mualifu basi atambue kua sheria ya tanzania itambana kwa sababu atakua anaziwia police kufanya Kaz yao
Kwani wewe upo kwenye kundi la wenye Akili? Wewe ni mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua mwenye akili?Hehehe yaani mtu na akili zake apoteze muda kwenda kumsubiria mropokaji
Huwajui Watanzania wewe, mchukuane lile kundi la wasap muende tu japo hilo kundi limejaa mamluki
Tundu bovu la kubambikiwa kesi za uonevu?Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
Makesi haramu kwenye mahakamaccm wakiandaa Jajiccm lazima atakwenda kinyume na Sheria kwa kutumia Sheria binafsi za Mtukufu na Naibu Rais Bashite, mahakamaccm kwenye kesi za Tundu lisu inatumia Sheria za zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM siyo Sheria za Nchi, cyprian Musiba kaandaa wagonjwa wa corona wa kumuambukiza Tundu lisu kwa mujibu wa Le mutuz ambaye ni msiri wa Bashite.Majaji wanapasha moto dhana, ngoja aingine na hivi ana makesi mengi
CCM hawajui kuwa wapo watanzania wengi hawana ushabiki wala vyama lakini moyoni wanaichukia CCM kwa vitendo haramu vya kuwabambikia kesi wapinzaniKitendo Cha kutaka kumuua lisu kimeongeza chuki mno msione watz wanawachekea
Wewe ndiyo mropokaji iweje mnatumia nguvu kubwa kumzuia Tundu lisu badala kufanya maendeleo muache wananchi wawe huru kufanya maamuziHizi porojo tu akifika anatakiwa aripoti polisi hakuna mwenye muda na mropkaji