Ujio wa Lissu usiingiliwe, vinginevyo unaweza sababisha kutokea kwa stampede

Lazima iratibiwe sherehe kubwa ya mapokezi.
Lissu ni mhanga wa siasa chafu za awamu ya Tano
Kila anaechukizwa na uvunjaji wa haki wa binadamu na katiba atajitokeza kumpokea.
Amepigwa risasi kutokana na kupinga udicteta.
Watanzania tutakwenda kumlaki.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ndugu zake wanaweza wasiende kumpokea
Mbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga kwa Mara ya kwanza na njia imebana?
Nyie endeleeni kupiga fix watu na sijui uchumi wa kati ya juu na chini, Mara corona haiambukizi kupitia mdomoni bali njia ya nini sijui! Yaani full kujichanganya hata kampeni hazijaanza.
Lissu anakuja, wampendao watampokea na nyie mnao mchukia kunyweni maji mioyo itulie!
 
Soma comment zangu vizuri
 
Hakuna shida tuko tayari, tungoje kwanza apitishwe na wenye chama. Huenda wakaturahisishia kwa kumkata.
 
Kitendo Cha kutaka kumuua lisu kimeongeza chuki mno msione watz wanawachekea
Na kwa jinsi walivyo, huku wakiwa hawajakamata mtuhumiwa hata mmoja,wanaweza kutaka kumkamata mhanga mwenyewe na kumuweka ndani na hapo ndipo watapoamsha chuki na hasira za watu maana tunasikia anatakiwa mahakamani.

Wanachokitafuta watakipata.
 
Na walivyokuwa watu wa ajabu,wakati hawajakamata mtuhumiwa hata mmoja,watataka kumkamata mhanga mwenyewe na kumuweka ndani na hapo ndipo watapoamsha chuki na hasira za watu.

Wanachokitafuta watakipata.

Mnataka tuamini mmepanga kufanya mapinduzi ya Serikali kwa nguvu badala ya sanduku la kura, au?
 
Sidhani kama anaongelea maandamano huyu. Anaongelea kitu tofauti kabisa, asipuuzwe Achunguzwe.
 
Mnataka tuamini mmepanga kufanya mapinduzi ya Serikali kwa nguvu badala ya sanduku la kura, au?
Unaweza kutuambia vitabu vya dini viliposema haki huinua taifa vilimaanisha Nini?

1.Lisu alitoa taarifa ya kufwatiliwa na vijana wa kp na ss.

2.Baada ya wiki moja akashambuliwa ndani ya makazi ya viongozi.

3.Kamera zilikuwepo mkazitoa ili kuficha ushahidi.

4.Mpaka Leo mnaongea ujinga juu ya ishu ya lisu.

5.Mkamnyima haki ya matibabu.

6.Mkamnyima mshahara.

7.Pamoja na uonevu wooote mliomfanyia mkaona haitoshi mkamfukuza kazi.

8.Rekodi ya serikali namna inavyowatesa wapinzani na kuwabambikia kesi inajulikana.

9.Mnaenda kinyume nyume na haki yani badala ya kuwakamata waliomshambulia mnataka kumkamata muhanga.

10. Kituko ni pale mnapomtaka dereva atoe maelezo kwanza hivi angeshambuliwa jeska mngefanya huu ujinga mnaoufanya kwa Lissu?

Mnawadharau sana watanzania mnawashika mpaka makalio mme wa underrated sana injustice mnayoifanya kabisa tutaichoma Tanzania nzuri kwa mikono yetu.
 
Kuna uwezekano tuna option mbili tu, kumuacha atuchangamshie uchaguzi au kumkamata wanaomsapoti watuonyeshe misuli yao.
 
Kuna uwezekano tuna option mbili tu, kumuacha atuchangamshie uchaguzi au kumkamata wanaomsapoti watuonyeshe misuli yao.
Mnamkamata kwa kosa lipi? Hebu fafanua makosa ya Lissu au kosa lake ni kupigwa risasi 16?
 
Aje angalau jeshi la Polisi litapata pakuanzia
 
Mkia
Aje angalau jeshi la Polisi litapata pakuanzia
Mkiambiwa jeshi la polisi ni la vilaza mnakataa inamaana pamoja na mazonge yote yaliyowazi walishindwa waanzie wapi? Kwaakili yangu ndogo ningeanzia kwa mchomoa kamera na namba za gari alilolitaja dereva .
 
Mkia
Mkiambiwa jeshi la polisi ni la vilaza mnakataa inamaana pamoja na mazonge yote yaliyowazi walishindwa waanzie wapi? Kwaakili yangu ndogo ningeanzia kwa mchomoa kamera na namba za gari alilolitaja dereva .
Mkuu akija hayo yote yatafahamika,usiwe na wasiwasi atawekwa kwenye selo nzuri tu na atahudumiwa vizuuri ili atoe ushirikiano wa kutosha kwa jeshi la Polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…