sisi tuna CCM inatosha
Nchi inayomiliki dini yao?
Maka na madina huwa mnaenda kufanya nini kqma sio kwenda kwa wenye dini yao?Nchi inayomiliki dini yao?
Nani kakwambia Uislamu unamilikiwa na nchi fulani?
Umeandika ujinga kama sio upumbavu hadi nimesikitika sana
Unakataa nini sasa,nenda kahiji Bashneti.Nchi inayomiliki dini yao?
Nani kakwambia Uislamu unamilikiwa na nchi fulani?
Umeandika ujinga kama sio upumbavu hadi nimesikitika sana
Zawadi inayokamua uchumi na kuendelea kuitajitisha 🇸🇦Hijja ni zawadi ya Ibada kwa Waislamu wote duniani na pia ni zawadi ambayo ALLAH amewapa Watu wa Saudia Arabia iwafae kiuchumi.
Ibrahim aliiombea hiyo nchi iwe na neema tele.
Mbona wanaenda tuDini ni biashara za watu wachache
Muhammad hapo akicheza kama Pele
Wakristo walipona pale Yesu aliposema ,Saa yaja hamtaabudu katika mlima huu ,maana wamuabuduo Mungu imewapasa kumuabudu katika roho na kweli
Bila hivo matapeli wangesema ni lazima kwenda Yerusalemu ili UPATE baraka
Matapeli sio watu wazuri
Zawadi inayokamua uchumi na kuendelea kuitajitisha 🇸🇦
Dini ilikuja na utamaduni we jiulize ingekuwa dini ya uislamu inatokea congo.wale watu wafupi wasingekuwa haramu kwa mfungo huu kuliwa
Kama haumilikiwi na Saudia nenda kahiji Serengeti.Bandiko lako umelileta kiunafki,,, uislam haumilikiwi na saudia kama ukristo unavyomilikiwa na Vatican,, hakuna mchango wowote unaochangwa msikitini kwenda kwenye sijui jimbo ili uende Vatican, na unachotakiwa kujua hiyo saudia arabia imeikuta hijja kabla hata ya kuwa saudia,, na hakuna tozo ya hija zaidi kulipia ticket yako ya ndege na hoteli utakayolala wewe mwenyewe
Mkuu unaweza kufafanua hapa kwenye machimbo ya dhahabu?!Na wana dhahabu nyingi sana kwani walianza kuchimba zaidi ya miaka 5000