Ujio wa magari ya gesi na umeme yameifanya Saudi Arabia wafocus mapato ya Hija . Waislamu wanaitajirisha nchi inayomiliki dini yao

Ujio wa magari ya gesi na umeme yameifanya Saudi Arabia wafocus mapato ya Hija . Waislamu wanaitajirisha nchi inayomiliki dini yao

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Screenshot_20250304-211417.png
 
Hija ni chanzo cha pili cha pato la taifa la saudi arabia.

Wanapata hela nyingi sana kuliko hela ambazo waaafrica tunapata kwenye madini

Dini inakupa hisia kwamba unamtumikia Mungu ilhali unawatumikia wamiliki wa hiyo dini.

1741160606832.png
 
Miaka yote walikuwa wana mzunguko mkubwa wakati wa Hijja ambayo ni mara moja kila mwaka.

Ukienda na nauli tu utakuwa hujachangia kitu zaidi ya safari yako.

Ila watu wananunua bidhaa nyingi sana kutoka huko.
Na wana dhahabu nyingi sana kwani walianza kuchimba zaidi ya miaka 5000
Sisi acha tuwaweke wahadzabe kuvutia watalii
 
Dini ni biashara za watu wachache

Muhammad hapo akicheza kama Pele

Wakristo walipona pale Yesu aliposema ,Saa yaja hamtaabudu katika mlima huu ,maana wamuabuduo Mungu imewapasa kumuabudu katika roho na kweli

Bila hivo matapeli wangesema ni lazima kwenda Yerusalemu ili UPATE baraka

Matapeli sio watu wazuri
 
Bandiko lako umelileta kiunafki,,, uislam haumilikiwi na saudia kama ukristo unavyomilikiwa na Vatican,, hakuna mchango wowote unaochangwa msikitini kwenda kwenye sijui jimbo ili uende saudia, na unachotakiwa kujua hiyo saudia arabia imeikuta hijja kabla hata ya kuwa saudia,, na hakuna tozo ya hija zaidi kulipia ticket yako ya ndege na hoteli utakayolala wewe mwenyewe
 
Dini ni biashara za watu wachache

Muhammad hapo akicheza kama Pele

Wakristo walipona pale Yesu aliposema ,Saa yaja hamtaabudu katika mlima huu ,maana wamuabuduo Mungu imewapasa kumuabudu katika roho na kweli

Bila hivo matapeli wangesema ni lazima kwenda Yerusalemu ili UPATE baraka

Matapeli sio watu wazuri
Mbona wanaenda tu
 
Bandiko lako umelileta kiunafki,,, uislam haumilikiwi na saudia kama ukristo unavyomilikiwa na Vatican,, hakuna mchango wowote unaochangwa msikitini kwenda kwenye sijui jimbo ili uende Vatican, na unachotakiwa kujua hiyo saudia arabia imeikuta hijja kabla hata ya kuwa saudia,, na hakuna tozo ya hija zaidi kulipia ticket yako ya ndege na hoteli utakayolala wewe mwenyewe
Kama haumilikiwi na Saudia nenda kahiji Serengeti.

Vatican ni makao makuu ya Catholic only.Sasa hapo ukristo unamilikiwa vipi ?.
 
Back
Top Bottom