Ujio wa Makamu wa Rais Kamala Harris nchini Tanzania, mifumo ya ulinzi nchini isiingiliwe na Marekani

Hao vijana wenu acha waendelee kulinda maboxi ya wizi wa kura, sio zaidi ya hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Komwe langu limebasti kwa kucheka
 
Maybe mashoga wasipewe shavu tu
 
Wamarekani hawana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Huwa hawafanyi mishe zao bila malengo, bila shaka kuna deal wamekuja kulifuatilia.
Hata Tanzania haina rafiki wa kudumu...tunao marafiki wa kimkakati siku zote....BE PROUD OF YOUR NATION AND TAKE YOUR TIME TO BE INFORMED
 
Eti details za ikulu. Kwani wasanifu wa majengo hayo sio binadamu? Kama ni binadamu leakage can be anywhere.
 
Hongera maana Rais mstaafu wakati anakabidhi ulikuwepo naye Ikulu
Ujio wa Obama mwaka 2013 ulitia fora!!!! JAKAYA alidata akawa anakenuaa tu, na alivyo zuzu akaagiza FFU wa kitanganyika wawekwe kando ili kupisha WANAJESHII WA THE UNITED STATES OF AMERICA.

Akakabidhi passwords zote za ikulu kwa mabeberuu huku anajichekesha chekesha.

Jamaa tapeli lile, linaweza hata kuuza nchi na migodi yake yote! Linakenua tu!
 
Kwa akili yako umedhani sijui kama hawajui kumbe unajidanganya. Wanaweza kujua lakini experience watakayo ipata kuzurula humo mjengoni na kupiga picha kisirisiri au kwa uwazi ndiko nako kumaanisha sawa ewe mwenye akili?
So unataka waishie nje? Uko serious au unatania? 🤣
 
Sukuma gang kazini
 
Chamwino ilijengwa na North Korea chini ya babu yake Kiduku je bwana Rocket man hatamind jengo lilijengwa kwa ufadhili wa babu yake kutembelewa na mmarekani? Na je protocal zinasemaje, Kamara Harris atapokelewa na Isdor Mpango?
 
Wamarekani ndiyo wanaendesha Dunia na wanajua mpaka silaha tunazomiliki.Na ni sheria yao kumlinda Rais wao kijeshi popote pale anapokwenda.
Idara yetu TISS imeshindwa kuiwezesha Tanzania kuwa na Uchumi imara kwa kutumia rasimali zetu bali nao wamekuwa sehemu ya tatizo la ufisadi na rushwa,wataaminiwa vipi na magwiji wa CIA.
TISS yetu kazi yake ni kuilinda CCM na viongozi wake wezi na intelijensia ya vyama vya upinzani na kutengeneza mikakati ya kuiwezesha CCM kuvigeuza vyama vya upinzani kuwa rafiki wa CCM Ili nao Watoto wao waje wakumbukwe kwenye teuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…