Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi yenu ni kulia lia tu!!!pambaneniMama akifuata Ujinga wa Awamu ya Wachunga Ng'ombe nae ataishia kuugua ugonjwa wa Roho
Ugonjwa wa Roho unasababishwa na Roho mbaya
Utasubiri sanaWe need turn a new page. And FAST!
Sidhani kama atafuata mawazo ya WASENGEREMA kama wewe, na wenzako wengine kutoka wilaya hiyo!Maridhiano ya nini mzee? Kwani tulikua na Vita. Rais Samia endeleza moto ule ule hakuna kumkaribisha mtu Ikulu kunywa Juice
Bora wew umeulza Mkuu.Hivi MARIDHIANO ya kisiasa ndio yakoje ? Unamuita Tundu Lissu unampa Umakamo wa urais au unafanyaje
Tunalilia Watanzania wenzetu na haswa Watoto walioachwa wakafe kwa sababu tu ionekane Magufuli anapendwaKazi yenu ni kulia lia tu!!!pambaneni
We pimbi ukitishia mtu kifo I'd feki haizuii ww kujulikanaMjiandae kisaikolojia tu , tunawaambia ukweli, Lissu amekejeli sana kifo cha JPM, mwambieni yeye atazikwa huko huko Belgium, Tz akirudi atakutana na vijana wa mtaani watakaompa halali yake. Hakuna haja ya TISS kuhangaika naye, washenzi wa mtaani wanadondoshwa na bisibisi tu.
Kwani ww ndo unatoa madaraka au wananchi kupitia sanduku la kura?Washenzi sana hawa, kama wanafanya upumbavu wote huu saivi, ukiwapa madaraka kidogo wataleta machafuko kabisa.
Kuambiwa upige mbizi kama huna miambili, hapo ukatili uko wapi? Mbona kwenye daladala unakuwa mpole tuu ikiambiwa piga nyama chini kama huna nauli?All- in -All,Huyu hawezi kuwa na ukatili kama wa Jiwe.Unless ajifunze,na ukatili wa kujifunza sio sawa na ule wa asili kama wa Jiwe;mtalimia meno,mtapiga mbizi kama hamna mia mbili.....Jiwe alishaonyesha ukatili toka enzi hizo hajawa raisi!
Acha uchochezi, wakati mwingine ni ngumu kuthibiti hisia za raia katika tukio kama hili, usichanganye mamboTunalilia Watanzania wenzetu na haswa Watoto walioachwa wakafe kwa sababu tu ionekane Magufuli anapendwa
Watoto wadogo wameikosea nini Serikali ya kidhalimu ya CCM?