Pre GE2025 Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Pre GE2025 Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umepotoka, Mh Rais hakuwa 'Chief of Protocol' kwenye tukio lile. Waziri wa mambo ya nje P Kabudi ndiye aliyekuwa na utaratibu kama alivyopangiwa na kamati. Hata hivyo, kwa mjibu wa maelezo yake kwamba muda ulikuwa ni finye sana kwa kila kundi kusimama na kutoa salamu, mpaka Rais wa Zanzibar alimpelekea dokezo msimamizi wa tukio kuondoa nafasi yake ya kutoa hotuba na badala yake atafanya hivyo kule Zanzibar siku ya kuupokea mwili wa marehemu kwa ajili ya kuuaga.

Kutokana na nafasi kuwa finyu kuendana na muda aliteuliwa msajili wa vyama vya siasa kuwakilisha vyama vyote.

Jina lako linasadifu kwamba wewe ni mtu wa shari-shari maana unachokihoji hakina mantiki, je ulitaka kutumia msiba kufikisha malalamiko yako ya kisiasa yaliyojaa lawama badala ya kufariji?

Upinzani sio uadui, ni kurekebisha na kujalizia kwenye upungufu ili kuboresha kwa faida ya wengi, kabla ya mmoja mmoja kuonekana bayana; chuki hazisaidii ila huchochea zaidi migogoro ya kimaslahi kama wewe unavyoyapigania.
 
Kaka yawezekana Unaicheza Ngoma husioijua. Magufuli hakua Mjinga kwa Yote aliyoyafanya.

Rais Anajua Mambo mengi kuliko MTU yeyote yule katika nchi hii.

Anajua nia ya kila tahasisi iliyopo katika Jamhuri ya Tanzania kwamba ni njema au ni Mbaya.

Jamaa zako wa chadema wamejificha kwenye koti la kudai democracy lakini nyuma yao wapo wale jamaa zetu wanaotaka Kunyonya rathilimali zetu kwa kivuli cha Democracy.

Fatilia Misimamo yao tangu Awamu ya Mzee Jakaya utagundua hawa jamaa mnaowashabikia ni vibaraka wa Mabeberu. Na kamwe hakuta kua na Maridhiano na watu wa sampuli hii.
 
All- in -All,Huyu hawezi kuwa na ukatili kama wa Jiwe.Unless ajifunze,na ukatili wa kujifunza sio sawa na ule wa asili kama wa Jiwe;mtalimia meno,mtapiga mbizi kama hamna mia mbili.....Jiwe alishaonyesha ukatili toka enzi hizo hajawa raisi!
 
Kazi yenu ni kulia lia tu!!!pambaneni
Tunalilia Watanzania wenzetu na haswa Watoto walioachwa wakafe kwa sababu tu ionekane Magufuli anapendwa

Watoto wadogo wameikosea nini Serikali ya kidhalimu ya CCM?
 
Mjiandae kisaikolojia tu , tunawaambia ukweli, Lissu amekejeli sana kifo cha JPM, mwambieni yeye atazikwa huko huko Belgium, Tz akirudi atakutana na vijana wa mtaani watakaompa halali yake. Hakuna haja ya TISS kuhangaika naye, washenzi wa mtaani wanadondoshwa na bisibisi tu.
We pimbi ukitishia mtu kifo I'd feki haizuii ww kujulikana
 
Washenzi sana hawa, kama wanafanya upumbavu wote huu saivi, ukiwapa madaraka kidogo wataleta machafuko kabisa.
Kwani ww ndo unatoa madaraka au wananchi kupitia sanduku la kura?

Unafikiri mtaweza kuiba kura miaka yote?!!!
 
All- in -All,Huyu hawezi kuwa na ukatili kama wa Jiwe.Unless ajifunze,na ukatili wa kujifunza sio sawa na ule wa asili kama wa Jiwe;mtalimia meno,mtapiga mbizi kama hamna mia mbili.....Jiwe alishaonyesha ukatili toka enzi hizo hajawa raisi!
Kuambiwa upige mbizi kama huna miambili, hapo ukatili uko wapi? Mbona kwenye daladala unakuwa mpole tuu ikiambiwa piga nyama chini kama huna nauli?

Tanzania bado tuna fikra mgando sana kama hoja zenyewe ndo hizo
 
Tunalilia Watanzania wenzetu na haswa Watoto walioachwa wakafe kwa sababu tu ionekane Magufuli anapendwa

Watoto wadogo wameikosea nini Serikali ya kidhalimu ya CCM?
Acha uchochezi, wakati mwingine ni ngumu kuthibiti hisia za raia katika tukio kama hili, usichanganye mambo
 
Unaposema kambi ya upinzani unamaanisha nn maana cdhan kama IPO.

Na hlo la watu kukamatwa ni sawa kiherehere tu hicho unasema anaumwa wew ndyo msemaji wa serikali
 
Unaposema kambi ya upinzani unamaanisha nn maana cdhan kama IPO
Na hlo la watu kukamatwa ni sawa kiherehere tu hicho unasema anaumwa wew ndyo msemaji wa serikali
 
Back
Top Bottom