Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wanaomchukia ni walewale ambao walikuwa wanamchukia akiwa hai Wana saccos, angalia watanzania wengi tunavyomlilia. Ukisema JPM anachukiwa usijumuishe na mamilion tunaompenda.Pasu/Pasu Wilaya gani hiyo? Tumepata picha halisi mapekeo ya kifo cha Bwana mkubwa. Msiba huo umetueleza kinaga ubaga kuwa JPM anachukiwa sana na wananchi wa Jamhuri ya JF. Lakini wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walimkubali na walikuwa tayari kumfia.
Mama Samia shikilia hapo hapo, usisikilize wahamisha magoli ya lawama, hawana jema wala shukrani hao, utatukwaza sana kama utamkaribisha adui yeyote Ikulu. Long live the spirits of JPM.
Hata huyo Mbowe unayempenda siku akifa msiba wake utafanyika uwani kwenye nyumba Yake tuu na HAKUNA wataanza watakaokuwa na habari nae.