Pre GE2025 Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Pre GE2025 Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pasu/Pasu Wilaya gani hiyo? Tumepata picha halisi mapekeo ya kifo cha Bwana mkubwa. Msiba huo umetueleza kinaga ubaga kuwa JPM anachukiwa sana na wananchi wa Jamhuri ya JF. Lakini wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walimkubali na walikuwa tayari kumfia.

Mama Samia shikilia hapo hapo, usisikilize wahamisha magoli ya lawama, hawana jema wala shukrani hao, utatukwaza sana kama utamkaribisha adui yeyote Ikulu. Long live the spirits of JPM.
Wanaomchukia ni walewale ambao walikuwa wanamchukia akiwa hai Wana saccos, angalia watanzania wengi tunavyomlilia. Ukisema JPM anachukiwa usijumuishe na mamilion tunaompenda.
Hata huyo Mbowe unayempenda siku akifa msiba wake utafanyika uwani kwenye nyumba Yake tuu na HAKUNA wataanza watakaokuwa na habari nae.
 
Maridhiano ya nini mzee? Kwani tulikua na Vita. Rais Samia endeleza moto ule ule hakuna kumkaribisha mtu Ikulu kunywa Juice
Neno maridhiano ni Neno linalotumiwa na wanasiasa ili nao warudushe political maildge waliyozopoteza , wala hamna la maana
 
Maridhiano ya nini mzee? Kwani tulikua na Vita. Rais Samia endeleza moto ule ule hakuna kumkaribisha mtu Ikulu kunywa Juice

Halafu tukisema kuna chuki katika taifa hili mkatae?? Chuki huondoa haki.

Winner takes all, zero sum game havikuwahi kuwa sawa katika mahusiano ya binadamu!
 
Usimlaumu bure mama wa watu hichi kipindi Chamsiba Cha ghafla kilichotokea so kila kitu kitakuwa sawa
 
Huyu Mama naona Kama yupo yupo tu, muda utasema
 
Kuuamini upinzani itachukua muda Sana! Hawa ni vibaraka wa wakoloni wasioitakia mema nchi yetu, sakata la madini mgombea urais kupitia upinzani akasimama kama wakili wa mabeberu ili kuidhoofisha nchi. Mama Samia Suluhu tuvushe palipo baki tusonge mbele.
 
Huyu mama hata siku 5 hajamaliza mmeanza kumkosoa tena kwa ujengaji hoja dhaifu sana. Jaribuni jipeni muda pia mpe ni muda kiasi ndo muendeleze hiyo tabia yenu ya kukosoa.
Halafu walivyokuwa wakishinikiza aapishwe utadhani Leo siyo wao. Huko kwenye saccos sijui kumbukumbu anakaa nazo Nani.
 
Washenzi sana hawa, kama wanafanya upumbavu wote huu saivi, ukiwapa madaraka kidogo wataleta machafuko kabisa.
Wanaacha kujipanga kwa 2025 wanadhani mh rais Mama Samia atawapa vyeo. Lissu aliambiwa na magu apewe ka kazi kulingana na uwezo wake wa kubwatuka akakimbilia kwa mashoga wenzake Leo kaanza chokochoko Tena.
 
Rekebisha kwanza hapo si kweli alikuwa raisi alipotamka hayo maneno
Waziri ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri ambapo Mwenyekiti wake ni Raisi.Kauli ya waziri ina muwakilisha raisi kwenye Wizara husika!
 
Twende taratibu: Rais Samia kajieleza vizuri. Unasema eti hawo wapinzani hawakutajwa, umekosea. Sema kwamba hawakuwako, alikuwako Shibuda na alitajwa na MC. Of course hwakuwapo kwa vile hawamo bungeni.

Hadi tunavyoongea ukiwauliza CHADEMA watakwambia hawana wabunge, yaani kina Sugu na Mbatiya hawakupita, walishindwa. Unasema eti kuna mgawanyiko, hakuna kitu kama hiko. Kuna wabubge 367 kati ya hawo 365 ni CCM.

Huyo mmoja au wawili waliyebaki kama ni kujigawa watajigawaje zaidi ya huku na huku au kukaa lwao njenje? Pia unadai kuna itikadi kinzani, hakuna kitu kama hiko.

Hakuna itikadi kinzani, 365-2 haiwezekani ikawa na kujigawa, itikadi ni HAPA KAZI TU, MAPINDUZIIIIIIIII.
Mungu kafanya yake tayari. Haangalii cha CCM, Chadema, CUF wala ACT.

Na Mungu ataendelea kuwapatiliza wengine ambao hawatajifunza kutokana na hili lililotokea. Mungu ni fundi!
 
Sijawahi kuona Tanzania iliyopasuka tangu nizaliwe na haitokuwepo. Na kama mpasuko unaousema ni ule wa kuwakumbatia hawa wasaliti wa taifa kama Lema na Lissu basi mmenoa. Mama anajitambua wala hamtampata kirahisi.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mungu hapendi wadhalimu dhidi ya roho za watu. Hana utani nao kabisa. Ukurasa wa aliyekuwepo umefungwa sasa - asante Mungu!

Sasa tumuache Mama Samia afanye yake kwa zamu yake - huyu walau anaonekana ana hofu ya Mungu kweli, si msanii!
 
Nimesoma paragraph yako ya namba 5 na 4 du nimekuhurumia sana KILICHO BADIRIKA NI WINE CHUPA NI YA FANTA HAHA MAMA WAKAMUE HAO WAMESHAANZA KUJITENKENYA NA KUCHEKA WENYEWE
Poleni sana kwa kufiwa.
Tumeingia ukurasa mpya sasa. Tusonge mbele!
 
Maridhiano ya nini mzee? Kwani tulikua na Vita. Rais Samia endeleza moto ule ule hakuna kumkaribisha mtu Ikulu kunywa Juice
Wanasahau kwamba, hata huyo Samia aliwahi kutoa kauli kuwa Askari wa serikali ya CCM akipewa kazi ya kikuu, anapiga risasi tatu bila kukupata Basi hana kazi tena.Ile sura ya upole isiwachanganye, mwendo ni uleule[emoji28].
 
Mkiwa na shida mnakimbilia kukopa kwa haohao mabeberu, ila vinjaa vyenu vikipungua mnakuja kuandika mashudu hapa.

Watanzania sijui tuna tatizo gani
Dada kama wewe una njaa tafuta hela, usije kushinda humu jF.
 
Back
Top Bottom