Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi

Umewahi kutoka nje ya Tanzania? Kuna nchi unakuta miji inaunganishwa na usafiri wa reli, bahari, anga na barabara na kuna abiria kwenye njia. Maendeleo yanataka namna hii na siyo mtu ukitaka kusafiri ni mpaka utambike.
 
Kama ilivyokuwa kwa UDart, Reli ya Arusha na mpango wa bomba la mafuta Mwanza Wadau mafisadi hawataicha salama.
 
Case study ya treni vs mabasi iwe ni mwendokasi vs daladala.
Zilipoanza mwendokasi wengi walitabiri kifo cha dala dala,, siku mwendokasi ipo hoi ikiziacha daladala pale pale.
 
ndio mabadiliko hayo smarphone ziliua soko la viswaswadu
Viswaswadu vilia simu za mezani
simu ziliua barua

Hiyo ndio progress
 
Inatishia vipi basi,lengo la SGR sio kuua biashara ya mabus.
Mabus yataendelea kujaza watu na SGR itajaza tu.
Kama ilivyo kuwa mwendokasi daladala zikawa na hofu zitakosa abiria lakini wote walipata hesabu zao sawa.
Pana abiria wengi tu ambao ushuka vituo visivyopitiwa na reli wataendelea kupanda bus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…