Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

Yetu macho utaongea lugha zote ujuazo
 
Wajumbe sio watu wazuri wamemfanya vibaya DAB.
 
Kwanini serikali ilikataa wachunguzi wa kimataifa?
 
Ni kiwango changu cha kukuelewa wewe na unafiki wako
Mkuu pole sana, sio tuu, binadamu hatufani, bali pia hatulingani uwezo, wengine wamejaaliwa uwezo wa kuwa wakweli kupindukia na kuusema ukweli mkubwa kwa lugha ngumu ambazo wengine hawazielewi, na wengine wao wamejaaliwa mioyo migumu na uelewa finyu, wakisikia wasivyoelewa, wanaona ni unafiki!.
P
 
Unaamini ujinga huu?!
 
Maccm na jeshi lao hawataruhusu mapokezi ya TAL
 
Hiyo misemo na sisi Wapogoro kwetu ipo! Wewe utakuwa Ndg yangu!
Mwl wng aliwahi kuniusia... "Hakuna ubaya utafanywa na MBAYA isipokuwa Ubaya ule humrudia Mbaya yule"

Tusubiri.
 
Pole na wewe kwa kugubikwa na ukabila,chuki kwa Chadema na Tundu Lissu.
 



Pasco Mayalla sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi, CCM. na Mayalla kikwetu ni NJAA.

Ni kweli tukio halijakuwa planned na serikali ndio maana siku ile getini walinzi wote waliondolewa,ni kweli halijakuwa planned na serikali ndio maana CCVT ziling'olewa zote na ni kweli halijakuwa planned na serikali ndio maana miaka mitatu hawajakamatwa japo Chadema waliomba Scotland Yard waje kufanya uchunguzi lakini serikali ilikataa kwa kusema hawajashindwa.

Naungana na nyinyi tukio lile halijakuwa planned na serikali.
 
Tulipofikia Tanzania Ni pabaya ndugu yangu Mshana.
Hivi unafikiri bashite na wahuni wale wenye silaha walijiamulia kupanga na kutekeleza shambulio dhidi ya Mheshimiwa LISSU Bila maelekezo kutoka kwa malaikayesu wa Lugola?
 

Havomi !!
 
Paschal bado una wenge LA kushindwa kura za maoni. Wajumbe siyo watu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…