KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Kwa kuanzia, kazi hii aliyoifanya huko nyuma, na ambayo watu wengi hawaifahamu, inafaa itengenezewe namna ya kuieneza hata kabla ya kampeni hazijaanza.Kama uliweza kuwatetea watu mahakamani huko Tarime Nyamongo, Geita, Ulyankulu, Kahama na kila walikoonewa, hakika ni shetani pekee anayeweza kukunyima kura.
Naunga mkono hoja. Tunahiaji details za kazi zake nzuri na kuzitia kwenye vipeperushi angalau tuanzie na magroup ya whatsappKwa kuanzia, kazi hii aliyoifanya huko nyuma, na ambayo watu wengi hawaifahamu, inafaa itengenezewe namna ya kuieneza hata kabla ya kampeni hazijaanza.
Tundu Lisuu amedhalilishwa sana na wapuuzi, kwa kupachikwa neno 'Msaliti'. Hili linatakiwa lifutwe kabisa kwa kuonyesha kazi ngumu sana aliyokuwa akiifanya katika kuwatetea wanyonge hata kabla ya kuwa ndani ya siasa.
Kazi ya kutengeneza namna na kueneza habari hii inapaswa ifanyike kitaalam kuvuta hisia za mwanchi wa kawaida awali kabisa ya kampeni.
LOOooh, "Ni kweli kabisa, kuwa'ni rahisi kwa Tanzania kuitawala Marekani kuliko Magufuli kuanguka 2020'"?Ni kweli kabisa, lakini ashindane, tena sio kushindana tu, bali ashindane kwa haki. Tena ashindane na Lissu.Hapo ndio tutaona uwezo wake, na kura zake halisi. Kama atalogwa akubali ushindani wa haki, uchaguzi huu hata akishinda utamuacha na fedheha sana, na mambo mengi atabidi atekeleze hasa maendeleo ya watu, na kuheshimu demokrasia. Kubwa zaidi kuliko yote, ushindani huu utamfanya iwe ngumu kwake kubadili katiba ili akae madarakani zaidi ya miaka 10.
Mzee baba Ana wasiwasi Sana, ukisikiliza hotuba zake kwa makini utagundua anahofia uchaguzi
Huwezi kuwa ulaya wewe..Hivi hao wapiga Kura gani mnawazungumzia. Tz Hii Ni ya JPM. na kuongea kwenu kunadhihirisha Hilo. Hakuna anayehangaika na maiti. Ukiona unajitungia maneno ujue Ngoma nzito. Lissu hawezi kushinda hata kula 2 Mbili. Nyie Ni Kundi lile la watoto wa secondary wanamchgua kiongozi kwa kuwa walimwona kabishana na mwalimu wa nidhamu. It’s more than that.
Lissu atalipaje ukarimu wa wazungu . Hakuna cha bure wakuu. Na Hakuna zaidi ya uchumi duniani. So ukiskia unapendwa mwanamume kaza mkanda. Ukiona Museveni hawamgusi ujue anajua kula nao. So always ukiona unapendwa sana na wazungu. Jiulize wameona Nini nyuma huko. Niko ulaya mwaka 14 sasa. Najua nachoongea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usijali,Mussa yuko katika maandalizi ya kuja kuokoa wana wa Israeli siku si nyingi.
Kuwa msaliti hakuhitaji mda mrefu! Anaweza alifanya mema mwanzoni ndiyo, lakini tangu 2015 amekuwa msaliti. Hivyo, mema yake yote ya nyuma yamefutwa. Na sasa ni msaliti.Kwa kuanzia, kazi hii aliyoifanya huko nyuma, na ambayo watu wengi hawaifahamu, inafaa itengenezewe namna ya kuieneza hata kabla ya kampeni hazijaanza.
Tundu Lisuu amedhalilishwa sana na wapuuzi, kwa kupachikwa neno 'Msaliti'. Hili linatakiwa lifutwe kabisa kwa kuonyesha kazi ngumu sana aliyokuwa akiifanya katika kuwatetea wanyonge hata kabla ya kuwa ndani ya siasa.
Kazi ya kutengeneza namna na kueneza habari hii inapaswa ifanyike kitaalam kuvuta hisia za mwanchi wa kawaida awali kabisa ya kampeni.
Maiti in wewe na huyo babako anayeenda kujambishwa this time.Hivi hao wapiga Kura gani mnawazungumzia. Tz Hii Ni ya JPM. na kuongea kwenu kunadhihirisha Hilo. Hakuna anayehangaika na maiti. Ukiona unajitungia maneno ujue Ngoma nzito. Lissu hawezi kushinda hata kula 2 Mbili. Nyie Ni Kundi lile la watoto wa secondary wanamchgua kiongozi kwa kuwa walimwona kabishana na mwalimu wa nidhamu. It’s more than that.
Lissu atalipaje ukarimu wa wazungu . Hakuna cha bure wakuu. Na Hakuna zaidi ya uchumi duniani. So ukiskia unapendwa mwanamume kaza mkanda. Ukiona Museveni hawamgusi ujue anajua kula nao. So always ukiona unapendwa sana na wazungu. Jiulize wameona Nini nyuma huko. Niko ulaya mwaka 14 sasa. Najua nachoongea.
Pumbavu.Kuwa msaliti hakuhitaji mda mrefu! Anaweza alifanya mema mwanzoni ndiyo, lakini tangu 2015 amekuwa msaliti. Hivyo, mema yake yote ya nyuma yamefutwa. Na sasa ni msaliti.
LOOooh, "Ni kweli kabisa, kuwa'ni rahisi kwa Tanzania kuitawala Marekani kuliko Magufuli kuanguka 2020'"?
Mkuu 'Tindo' ni wewe?
Amepigwa risasi na msimamo hajabadilishaNaunga mkono hoja. Tunahiaji details za kazi zake nzuri na kuzitia kwenye vipeperushi angalau tuanzie na magroup ya whatsapp