jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Akija nitaenda kupiga kura, asipokuja hata sipotezi mda wangu
Naamini leo Mkuu utalala kwa amani sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akija nitaenda kupiga kura, asipokuja hata sipotezi mda wangu
Huyo hakuingia katika mchujo huo kwa nia ya kushinda.Ila wajumbe walimuweza sana, sijui kama atakaa asahau
Na ahadi yake ya kuyo milioni kumi kila kata
Silinde and the company ila asante sana wajumbeWengine walipewa mpunga fasta wakabadili msimamo
Tatizo P damu ya kunguni hawezi pata uteuziHuyo hakuingia katika mchujo huo kwa nia ya kushinda.
Hiyo ni mbinu ya kuweka jina, ili hapo wakati ukiwadia, wakati wa uteuzi, jina lifanye kazi. Wote hao, kama akina Mashinji, mkakati wao ulikuwa ni huo huo.
Wanasubiri uteuzi endapo Magufuli ataendelea kuwepo.