Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mbayuwayu, anayumba yumba haelewi amesimama wapi, nawashukuru sana wajumbe kwa kumgundua maana mtu wa type hii hafai hata uongoziMnafiki huyu Mtende haeleweki, he is all over the place when it comes to important issues of our Nation.
Kama mbayuwayu, anayumba yumba haelewi amesimama wapi, nawashukuru sana wajumbe kwa kumgundua maana mtu wa type hii hafai hata uongozi
Nimewajua kwa sababu y tabi aya P ya kuyumba yumba [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha lol! Umenikumbusha utotoni lol! Sikudhani kama nawe unawajua ndege mbayuwayu [emoji12][emoji12]
Achana na huyo Pascal Mayalla, kwa kuchukua fomu alifuta kabisa mahusiano yake yote na ustaarabu akaamua kuungana na washamba na limbukeni, genge lililolitafuna taifa na linaloendelea kulitafuna taifa bila huruma...kama nzige hilo genge linakula 24/7 bila kushiba. Acha wafu wazikane!Baada ya kupigwa kibao na wajumbe sasa naona akili inakukaa sawa, muone P leo naona anamkaribisha Lissu
Ila wajumbe walimuweza sana, sijui kama atakaa asahauAchana na huyo Pascal Mayalla, kwa kuchukua fomu alifuta kabisa mahusiano yake yote na ustaarabu akaamua kuungana na washamba na limbukeni, genge lililolitafuna taifa na linaloendelea kulitafuna taifa bila huruma...kama nzige hilo genge linakula 24/7 bila kushiba. Acha wafu wazikane!
Umeonyesha ukomavu mkubwa Sana kwenye hili P... Nafikiri ujio wa TL unaenda kuleta taswira mpya kabisa kwenye uchaguzi mkuu October...Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.
Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!
Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"
Paskali
Nimewajua kwa sababu y tabi aya P ya kuyumba yumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nilikua na shabaha, ungeniamba ningekuelekeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katika michezo niliyocheza utotoni hasa wakati wa likizo ni kuwinda ndege kwa manati [emoji23] sasa wawindaji wenzangu [emoji12] na mimi tulikuwa tunalalamika sana kwamba ni ngumu sana kuwapiga na manati mbayuwayu [emoji23][emoji23]
Achana na huyo Pascal Mayalla, kwa kuchukua fomu alifuta kabisa mahusiano yake yote na ustaarabu akaamua kuungana na washamba na limbukeni, genge lililolitafuna taifa na linaloendelea kulitafuna taifa bila huruma...kama nzige hilo genge linakula 24/7 bila kushiba. Acha wafu wazikane!
Mi nilikua na shabaha, ungeniamba ningekuelekeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekwambia mimi nilikua na walenga na manati tena ile nyekundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbayuwayu hata kuwaona wametua ni nadra sana ila wanapenda kuruka kwenye kundi kubwa basi unarenga kwenye kundi angani lakini hakuna aliyewahi kufanikiwa.
Nimekwambia mimi nilikua na walenga na manati tena ile nyekundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya mrembo I wish I knew you back then labda ningeweza kupata hata mbayuwayu mmoja hahahahaha
I will vote this time!so inspired.Akipitishwa kugombea nitapiga kura
Nitamwombea Kura 10 kwenye familia yangu, nitampigia kampeni kwenye magroup yote ya wassap
Ilibidi nikaitafute kadi nilikoiweka Thank gods wamenipatia napiga kura kwa mara ya. 6Aaamen
Wengine walipewa mpunga fasta wakabadili msimamoAmepigwa risasi na msimamo hajabadilisha
Binafsi nimepoteza kadi ya mpiga kura pia kipindii cha maboresho ya daftari nilikuwa nchini Kenya so zoezi lilinipitia kushoto.Musa alifia njiani, hakufika nchi ya ahadi🙄
Kura za Facebook atapata, Ila kura za watu wanaojitambua hawezi kupata