Uchaguzi 2020 Ujio wa Tundu Lissu utatufanya tukapige kura

Uchaguzi 2020 Ujio wa Tundu Lissu utatufanya tukapige kura

Tundu Lissu ndio tumaini pekee la sisi wanyonge kukombolewa. Ni yeye pekee anayeweza kwa mara nyingine tukaamka vitandani ahsubuhi kwenda kupanga foleni kwaajili ya kupiga kura kama tulivyofanya 2015. Tulipiga kura 2015 kwa matarajio kuwa mzee Lowassa atasimamia mabadiliko tuliyokuwa tukiyahitaji kwa miaka mingi.

Ujumbe kwa CCM na polisi yenu ni kuwa
Mzee Kikwete kwa miaka yake 10 alijenga barabara na madaraja mengi nchi nzima lakini hakuifanya iwe turufu maana alikuwa akijuwa kuwa hata huku ujerumani wakati wa Hitler, kulijengwa miundombinu na viwanda vingi lakini uuwaji alioufanya kwa watu haukuhalalisha yeye kubaki madarakani.

Tundu Lissu tunakujuwa sana njoo nyumbani ili maovu yawe wazi, tumeumizwa sana, watu wengi wamepotezwa sana. Katiba mbovu wanufaika ni wanaojipendekeza tu na kwenda huko lumumba na ajira zipo lumumba tu.

Kama uliweza kuwatetea watu mahakamani huko Tarime Nyamongo, Geita, Ulyankulu, Kahama na kila walikoonewa, hakika ni shetani pekee anayeweza kukunyima kura.

Lissu njoo wafanyakazi wamenyanyaswa sana, wamepuuzwa sana, wamedhurumiwa sana bado wana mishahara ya Jakaya.

Tulikuombea umepona.

Waliotaka kukuuwa walikufukuza ubunge na kukukata mshahara yote hiyo ilikuwa ni kuhakikisha hauponi tu. Sasa aibu yao.

Lissu njoo tutakuja kukupokea hapo JKNIA.

Lissu ni TUMAINI JEMA
Ni kweli kabisa lissu ndio tumaini lililobaki hakuna mwingine tutamwamini akisimama kugombea kiti cha urais 2020 mimi pamoja na familia yangu wote tutapiga kura
 
Kabisa aisee, kwa maana vijana wengi ajira hatuna,
 
Misukule ya Lumumba mimi naipitaga kama upepo.
Pumbavu.

Unao ushahidi?

Tena nasikitika sana kukujibu hapa, kwa sababu hustahili kujibiwa. Huna hadhi na heshima ya kujibiwa hata kwa dharau.

Usihangaike kuni'quote' tena.
 
Hata wazindue jengo la kuhifadhi kura tutampigia lissu
 
Ahahahah, mtoa uzi mi nilitaka kujua tu upo Ujerumani au Tanzania, nisaidie ilo tu.
 
Usijali,Mussa yuko katika maandalizi ya kuja kuokoa wana wa Israeli siku si nyingi.
Lissu aje ili Watanzani wapate mkombozi!!
Nchi watu wanagawana wanarithishana na watoto watakuja wajukuu!!
Masikini wanazidi kudidimia, S Africa Jor' Bug flyover na 8Lains highways si za kuuliza, umeme wa nukria wa uhakika lakini watu walidai uhuru!!
Maendeleo bila uhuru wa kidemokrasia na katiba nzuri ya wananchi huo ni utumwa!!
Mtu pekee wa kutengeza taifa huru lenye katiba bora ni;
MWANA SHERIA NGULI TUNDU ANTIPASI LISSU. KARIBU NYUMBANI TUNAKUNGOJEA KWA HAMU KUBWA!!
MTETEZI WA WANYONGE KUANZIA KAHAMA, GEITA BUZWAGI HADI NYOMONGO ETC!!
 
LOOooh, "Ni kweli kabisa, kuwa'ni rahisi kwa Tanzania kuitawala Marekani kuliko Magufuli kuanguka 2020'"?

Mkuu 'Tindo' ni wewe?
Koudou Laurent Gbagbo na Yahya Abdul-Aziz Jemus Junkung Jammeh wote walikuwa makatili huyu Meko cha mtoto wako wapi sasa hivi
 
Pumbavu.

Unao ushahidi?

Tena nasikitika sana kukujibu hapa, kwa sababu hustahili kujibiwa. Huna hadhi na heshima ya kujibiwa hata kwa dharau.

Usihangaike kuni'quote' tena.
Msaliti - Lissu is a Sellout and sellouts have to be necklaced. Yaani wamvishe tairi la gari na uwashwe moto - Sellout
 
M
Koudou Laurent Gbagbo na Yahya Abdul-Aziz Jemus Junkung Jammeh wote walikuwa makatili huyu Meko cha mtoto wako wapi sasa hivi
[/QUOTE
Ni mtu/watu au viongozi gani walikuwa wazuri ambao wanaishi milele mpaka leo? Duaa la kuku hilo!
 
Ni kweli kabisa lissu ndio tumaini lililobaki hakuna mwingine tutamwamini akisimama kugombea kiti cha urais 2020 mimi pamoja na familia yangu wote tutapiga kura
Unaachaje kupiga kura kwa Lissu kwa mfano!
 
Lissu aje ili Watanzani wapate mkombozi!!
Nchi watu wanagawana wanarithishana na watoto watakuja wajukuu!!
Masikini wanazidi kudidimia, S Africa Jor' Bug flyover na 8Lains highways si za kuuliza, umeme wa nukria wa uhakika lakini watu walidai uhuru!!
Maendeleo bila uhuru wa kidemokrasia na katiba nzuri ya wananchi huo ni utumwa!!
Mtu pekee wa kutengeza taifa huru lenye katiba bora ni;
MWANA SHERIA NGULI TUNDU ANTIPASI LISSU. KARIBU NYUMBANI TUNAKUNGOJEA KWA HAMU KUBWA!!
MTETEZI WA WANYONGE KUANZIA KAHAMA, GEITA BUZWAGI HADI NYOMONGO ETC!!
Mpenda haki na utawala bora. Mbona Tz itakuwa kama Finland. We will enjoy the fruits. Watanzania tuungane kupata Taifa bora.
 
Tundu Lissu ndio tumaini pekee la sisi wanyonge kukombolewa. Ni yeye pekee anayeweza kwa mara nyingine tukaamka vitandani asubuhi kwenda kupanga foleni kwa ajili ya kupiga kura kama tulivyofanya 2015. Tulipiga kura 2015 kwa matarajio kuwa mzee Lowassa atasimamia mabadiliko tuliyokuwa tukiyahitaji kwa miaka mingi.

Ujumbe kwa CCM na polisi yenu ni kuwa Mzee Kikwete kwa miaka yake 10 alijenga barabara na madaraja mengi nchi nzima lakini hakuifanya iwe turufu maana alikuwa akijuwa kuwa hata huku ujerumani wakati wa Hitler, kulijengwa miundombinu na viwanda vingi lakini uuwaji alioufanya kwa watu haukuhalalisha yeye kubaki madarakani.

Tundu Lissu tunakujuwa sana njoo nyumbani ili maovu yawe wazi, tumeumizwa sana, watu wengi wamepotezwa sana. Katiba mbovu wanufaika ni wanaojipendekeza tu na kwenda huko lumumba na ajira zipo lumumba tu.

Kama uliweza kuwatetea watu mahakamani huko Tarime Nyamongo, Geita, Ulyankulu, Kahama na kila walikoonewa, hakika ni shetani pekee anayeweza kukunyima kura.

Lissu njoo wafanyakazi wamenyanyaswa sana, wamepuuzwa sana, wamedhurumiwa sana bado wana mishahara ya Jakaya.

Tulikuombea umepona.

Waliotaka kukuuwa walikufukuza ubunge na kukukata mshahara yote hiyo ilikuwa ni kuhakikisha hauponi tu. Sasa aibu yao.

Lissu njoo tutakuja kukupokea hapo JNIA.

Lissu ni TUMAINI JEMA
Usije kimbia uzi huu baada ya uchaguzi. Lissu ni bogus Wala Hana impact yoyote October 28

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Msaliti - Lissu is a Sellout and sellouts have to be necklaced. Yaani wamvishe tairi la gari na uwashwe moto - Sellout
Hayo usemayo ni laana kwa mtu asiye na hatia, mwenyewe unajua!!
Hakutoka baa wala mahali popote, akapigwa risasi mchana kweupe Eneo Area D. Dodomay
makazi ya viongozi tena wabunge!!
Hayo unayo bwabwaja unasababisha laana kwako na familia yako!!
Mungu alituumba tujenge familia nzuri sio tutumike na shetani kutengeneza familia za majambazi!!
Labda wewe ni mhusika unaogopa kujulikana!!
 
Hakika ni shetani pekee anayeweza kumnyima Tundu Lissu kura. Shetani peke yake ndiye anayefurahia maovu.
Lissu mwenyewe shetani wewe ata hujiulizi mtu kushambuliwa kote kule anaponaje kama sio shetani .
 
Si anatafutwa huyo na mahakama huyo? Lakini eti ni kweli mpaka sasa hivi hakuna aliyekamatwa kwa kosa la kujaribu kumuua Tundu Lissu? Hata mshukiwa? nina muda mrefu sijafuatilia hii issue labda kuna habari mpya.
 
Back
Top Bottom