Uchaguzi 2020 Ujio wa Tundu Lissu utatufanya tukapige kura

Mnafiki huyu Mtende haeleweki, he is all over the place when it comes to important issues of our Nation.

Baada ya kupigw kibao na wajumbe sasa naona akili inakukaa sawa

BAK, muone P leo naona anamkaribisha Lissu
 
Hahahahaha lol! Umenikumbusha utotoni lol! Sikudhani kama nawe unawajua ndege mbayuwayu 😜😜

Kama mbayuwayu, anayumba yumba haelewi amesimama wapi, nawashukuru sana wajumbe kwa kumgundua maana mtu wa type hii hafai hata uongozi
 
Baada ya kupigwa kibao na wajumbe sasa naona akili inakukaa sawa, muone P leo naona anamkaribisha Lissu
Achana na huyo Pascal Mayalla, kwa kuchukua fomu alifuta kabisa mahusiano yake yote na ustaarabu akaamua kuungana na washamba na limbukeni, genge lililolitafuna taifa na linaloendelea kulitafuna taifa bila huruma...kama nzige hilo genge linakula 24/7 bila kushiba. Acha wafu wazikane!
 
Ila wajumbe walimuweza sana, sijui kama atakaa asahau

Na ahadi yake ya kuyo milioni kumi kila kata
 
Umeonyesha ukomavu mkubwa Sana kwenye hili P... Nafikiri ujio wa TL unaenda kuleta taswira mpya kabisa kwenye uchaguzi mkuu October...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ katika michezo niliyocheza utotoni hasa wakati wa likizo ni kuwinda ndege kwa manati πŸ˜‚ sasa wawindaji wenzangu 😜 na mimi tulikuwa tunalalamika sana kwamba ni ngumu sana kuwapiga na manati mbayuwayu πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimewajua kwa sababu y tabi aya P ya kuyumba yumba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nilikua na shabaha, ungeniamba ningekuelekeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahsante sana Mkuu umeandika ukweli mtupu kuhusu huyu mwenzetu ambaye anajishushia heshima yake kwa matendo na kauli zake za ajabu ajabu.

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbayuwayu hata kuwaona wametua ni nadra sana ila wanapenda kuruka kwenye kundi kubwa basi unarenga kwenye kundi angani lakini hakuna aliyewahi kufanikiwa.

Mi nilikua na shabaha, ungeniamba ningekuelekeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbayuwayu hata kuwaona wametua ni nadra sana ila wanapenda kuruka kwenye kundi kubwa basi unarenga kwenye kundi angani lakini hakuna aliyewahi kufanikiwa.
Nimekwambia mimi nilikua na walenga na manati tena ile nyekundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ haya mrembo I wish I knew you back then labda ningeweza kupata hata mbayuwayu mmoja hahahahaha

Nimekwambia mimi nilikua na walenga na manati tena ile nyekundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila siku nawashaur cdm... ata kwenye kampeni, wasiwe na mihemko.... watanzania wengi ni "wajinga" kwa iyo wanaitaj kueleweshwa kwa taratibu na kirafiki.... wakifoka na kupayuka..... bado watabaki na hii dhana ya "kupinga kila kitu" najua ni vigumu na muda si rafiki lkn nje ya propaganda mtanzania anatakiwa kueleweshwa kwa taratibu km mtoto wa la kwanza... yani ukimwambia 2+2=4 hakikisha unachukua visoda viwili uviunganishe na viwili uhesabu jumla af ndo umwambie kwamba hilo ndo jibu(nadhani wengi wamenielewa).
 
Musa alifia njiani, hakufika nchi ya ahadiπŸ™„
Kura za Facebook atapata, Ila kura za watu wanaojitambua hawezi kupata
Binafsi nimepoteza kadi ya mpiga kura pia kipindii cha maboresho ya daftari nilikuwa nchini Kenya so zoezi lilinipitia kushoto.
Naamini wapo wengi wanapiga kelele humu lakini hawatokuwa na Access ya kupiga kura kwa namna moja au nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…