Uchaguzi 2020 Ujio wa Tundu Lissu utatufanya tukapige kura

Ila wajumbe walimuweza sana, sijui kama atakaa asahau

Na ahadi yake ya kuyo milioni kumi kila kata
Huyo hakuingia katika mchujo huo kwa nia ya kushinda.
Hiyo ni mbinu ya kuweka jina, ili hapo wakati ukiwadia, wakati wa uteuzi, jina lifanye kazi. Wote hao, kama akina Mashinji, mkakati wao ulikuwa ni huo huo.

Wanasubiri uteuzi endapo Magufuli ataendelea kuwepo.
 
Mkapige kura.............hapa kama pepa mzee baba keshashinda kwa 100% 💯.........nilijua watu bado watasusa..............halafu tume ni ile ile................anaechezesha hizi kete yupo vizuri
 
Tatizo P damu ya kunguni hawezi pata uteuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…