Ujio wa wageni Chato ulituletea majanga? Wana usalama hawakuona?

Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.

Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.

Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
The Chinese Virus....Magu shot himself in the foot
 
Na sasa tutarajie matukio ya ajabu zaidi tena ya mfululizo... Bandik bandua...!
Labda warudi kwenye misingi ya sayansi...!!
 
Nenda huko YouTube na Barabarani kashuhudie watanzania na waafrika wanavyolia kwasababu mwamba wa Afrika amepotea. Nenda huko kajionee mwenyewe.
Hakuna tatizo mungu kamuonyesha mwanasayansi feki kua lazima alambe udongo kwa damu za aliowapoteza,leo tz ni xmas,idd,pasaka yani sikukuu zote zimeumana full shangwe
 
Wewe mwenyewe shetani.
Mimi ninacho jua Magufuli saivi yupo mbinguni anakula raha kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa uaminifu mkubwa na imani aliyoinyesha kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi wale wote wenye mapepo ndio wapinzania wakubwa wa mtu wa Mungu, hivyo ndivyo ninavyo elewa katika imani.
 
Huna akili pumbavu. Kaa kimya.
Sikutukanikwa sababu uliingia JF kwa ubishoo tu. Ulichokiposti ni cha kitoto, unataka serikali iweke pasipoti ya kuingia huko! GREAT THINKER hawezi kuposti hiki ulichoandika, utakuwa ni mtoto wa darasa la tano.
Tembelea Post zangu ujifunze.
 
Huna akili na huwezi kuelewa ndio maana unafikiri habari za passport ambazo hazina uhusiano na mada. Pumbavu huna akili.
 
Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.

Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.

Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
Very possible.... Halafu kwenye kuzika hawatokei.
 
Nisaidie huyo baada ya Mahiga ni Nani?. Leo mara ya pili nauliza sijibiwi.
alikua msaidizi wa katibu. na baadae sjui akawa katibu wa RAS wa mkoa gani sjui.. im not so sure tangazo lake la Tanzia lipo humu sema mambo mengi muda mchache nkikutaftie uzi wake ntakosa mengi yanaondelea kwenye kamati kuu lol
 
They have eyes but are blin
Mwanzoni mwa mwaka huu tumeshuhudia ugeni mkubwa ukimilinika kuelekea Chato huku tukiona hakuna tahadhali juu ya ugonjwa wa Covid 19 ikichukuliwa. Tulishudia waziri wa mambo ya nje wa China, rais wa Mozambique, rais wa Zanzibar na aliyekuwa makamu wake.

Baada ya muda sio mrefu tukasikia maalim Seif anaumwa na baadae kufariki. Baada ya muda tena aliyekuwa Chief Secretary ndugu Kijazi alifariki. Huku akiacha waziri Mpango akiwa hoi kitandani.

Tukiunga dots tutakuja kuona kuwa kuna tatizo ambalo lililetwa na ugeni uliokuja Chato ila hakuna tahadhari zilizochukuliwa. Hapa kuna jambo la kujifunza. Tuache kuwa tunachukulia kila kitu kwa mazoea.
They have eyes but don't see.
 
Acha kupanick dogo, mtaje mchina aliyeugua kwenye ule msafara unaoutuhumu usilete story Za vijiwe vya wachovu.
Mbona una mawazo mgando we kijana? Mpaka usikie Mchina kafa ndio ujue aliambukiza mtu?
 
Back
Top Bottom