Ujirani Mwema: Rais Samia akosoa uamuzi uliowahi kufanywa kuchoma vifaranga vya Kenya

Nishakupa example moja, Malawi.
Akili zako ni hovyo wewe, mgogoro wa Tanzania na Malawi ulianza kipindi cha Nyerere, Kikwete akaupeleka SADC, ndani ya utawala wa Magufuli hakuna lolote lililozungumziwa ndani ya SADC Wala Kati ya TZ na Malawi, actually Magufuli hakulipa umuhimu wowote alipotembelea Malawi, alikwenda kuhimiza ujirani mwema na hakutaka kabisa kulitaja hilo tatizo.
 
Keanu hiyo YA Kenya uliyotaja ilianza Jana? Wewe nilidhani kidogo una akili but ligi yako tu ni ya ichoboy01
 
Kwa hiyo una maana aliyetoa kauli hiyo alikosea????!!
 

Mununizi wavifranga dada yake GEZA ULALE.
 
Hovyo!! Unajenga vioja vya kitoto halafu unaleta hapa?
 
Huyu mama namuombea sana afanikiwe kwenye jitihada zake, nchi haiwezi kuendeshwa kwa chuki.
Wenye asili ya kusema UKWELI wanadai usisemwe tu pale 'unapobanwa' bali usemwe jana, leo na hata kesho. Hivi wakati vinachomwa, kwenye ule uzi uliofunguliwa hapa tunaweza kuhesabu waliopinga hicho kitendo? ...kama naye alikuwemo miongoni mwao.

Mimi naamini historia ya Tanzania itaandikwa tu na wale zilipokuja nyakati ngumu wakapiga kelele za za 'HAPANA' hadi wakamiminiwa risasi siku yao itakuja ikijumuisha na wale 'wakimbizi' wa mto Ruvu kwenye mifuko ya salfeti
 
Kila mpaka huwa kuna Animal Quarantine au Animal reception centres
Hapo huhifadhiwa kwa muda maalum na kuchunguzwa na gharama analipa mwenye mali

Hata kama hakuna hizo facilities basi wangetafuta njia zingine

Huu unyama ni kawaida sana hata wakati wa kuwaondoa wafugaji kwenye hifadhi tulisikia ng’ombe walivyotumbukizwa kwenye mito au mabwawa na kuuwawa kwa shaba

Tujaribu kuwa wastaarabu na kufuata taratibu za kiutu na sheria ziwepo atakaezivunja awajibishwe
 
Lile jinga lilikuwa linachukia Kenya sana. Mungu si Athumani. Mwenyezi Mungu alituondolea balaa. Sasa urafiki kati ya Kenya na Tanzania unazidi kunoga.
Duuuh sikufikiri Tony kama waweza andika maneno ya namna hii!anyway una uhuru wa kuandika uonacha.
 
Huyu mama namuombea sana afanikiwe kwenye jitihada zake, nchi haiwezi kuendeshwa kwa chuki.
Acheni kutufanya mazuzu, hapo mshamsika maza ni kuchuma tu tz, yaani sasahivi tz inakuwa shamba la bibi la kenya.
 
Lile jinga lilikuwa linachukia Kenya sana. Mungu si Athumani. Mwenyezi Mungu alituondolea balaa. Sasa urafiki kati ya Kenya na Tanzania unazidi kunoga.
Wezi nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…