joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Magufuli hajakwaruzana na nchi yoyote isipokua Kenya pekeeAlikwaruzana ama hakukwaruzana? Alafu mbona uongelee migogoro ya Marais wote wanne watano wakenya vs Magufuli pekee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli hajakwaruzana na nchi yoyote isipokua Kenya pekeeAlikwaruzana ama hakukwaruzana? Alafu mbona uongelee migogoro ya Marais wote wanne watano wakenya vs Magufuli pekee?
Nishakupa example moja, Malawi.Magufuli hajakwaruzana na nchi yoyote isipokua Kenya pekee
Akili zako ni hovyo wewe, mgogoro wa Tanzania na Malawi ulianza kipindi cha Nyerere, Kikwete akaupeleka SADC, ndani ya utawala wa Magufuli hakuna lolote lililozungumziwa ndani ya SADC Wala Kati ya TZ na Malawi, actually Magufuli hakulipa umuhimu wowote alipotembelea Malawi, alikwenda kuhimiza ujirani mwema na hakutaka kabisa kulitaja hilo tatizo.Nishakupa example moja, Malawi.
Keanu hiyo YA Kenya uliyotaja ilianza Jana? Wewe nilidhani kidogo una akili but ligi yako tu ni ya ichoboy01Akili zako ni hovyo wewe, mgogoro wa Tanzania na Malawi ulianza kipindi cha Nyerere, Kikwete akaupeleka SADC, ndani ya utawala wa Magufuli hakuna lolote lililozungumziwa ndani ya SADC Wala Kati ya TZ na Malawi, actually Magufuli hakulipa umuhimu wowote alipotembelea Malawi, alikwenda kuhimiza ujirani mwema na hakutaka kabisa kulitaja hilo tatizo.
Kwa hiyo una maana aliyetoa kauli hiyo alikosea????!!Onyesha ni nchi gani ambayo ilishakamata wanyama hai wakiingizwa nchini bila kufuata Sheria na wakarudishwa walikotoka, soma Sheria ya Tanzania yakudhibiti magonjwa ya wanyama inasemaje endapo mtu atakamatwa akiingiza wanyama hai bila kufuata taratibu hukumu yake ni ipi? (Ninakutafutia taarifa ya vifaranga vya Malawi vilivyochomwa)
Kuna bidhaa nyingi zinateketezwa kwa kuingia nchini bila kufuata utaratibu kulinda maslahi ya nchi.zipo taasisi za serikali zinakagua na kudhibiti mali zote zinazoenda nje au kuingia ndani.udhibiti huu unalinda nchi kutokana na athari za magonjwa kwa wanyama na binadamu.
Hakuna nchi duniani hata Marekani unaweza kuruhusiwa kuingiza mnyama hai bila kufuata utaratibu halafu hao wanyama hai wasiteketezwe. Udhaifu wa ukaguzi wa mazao na mifugo ndo ulisababisha kuingia kwa mdudu Dumuzi ambaye anashambulia mazao ghalani ambaye mpaka sasa wakulima wanatumia fedha nyingi kumdhibiti.Dumuzi inasemekana aliingia nchini na chakula cha msaada toka nje ya nchi.
Kauli ipi?Kwa hiyo una maana aliyetoa kauli hiyo alikosea????!!
Kauli ipi?Kwa hiyo una maana aliyetoa kauli hiyo alikosea????!!
Ni matumaini yangu umejifunza kitu[emoji23]Keanu hiyo YA Kenya uliyotaja ilianza Jana? Wewe nilidhani kidogo una akili but ligi yako tu ni ya ichoboy01
Hovyo!! Unajenga vioja vya kitoto halafu unaleta hapa?Kwasababu mnalazimisha mahusiano na Tanzania, tuliwaambia Kenya bila Tanzania uchumi hamuwezi kufanya lolote, ona jinsi mnavyojidhalilisha kwa kufurahi hadharani kutokana na uongozi wa nchi isiyokua yako.
Hamna ujanja, Uganda ambao walikua wanunuzi wakubwa wa bidhaa zenu wameachana na Ninyi Sasa hivi wamegeukia Tanzania, Ethiopia imekua ni "failed state", Somalia mnakaribia kupigana vita, South Sudan ni fujo kwa kwenda mbele, nchi pekee iliyobaki ni Tanzania.
Tony254
Wenye asili ya kusema UKWELI wanadai usisemwe tu pale 'unapobanwa' bali usemwe jana, leo na hata kesho. Hivi wakati vinachomwa, kwenye ule uzi uliofunguliwa hapa tunaweza kuhesabu waliopinga hicho kitendo? ...kama naye alikuwemo miongoni mwao.Huyu mama namuombea sana afanikiwe kwenye jitihada zake, nchi haiwezi kuendeshwa kwa chuki.
Yy alikuwa na nyadhifa gani serikalini wakati huo?Kimsingi, yule mzee wa Chattle alikuwa na moyo wa kikatili sana.
YESU NDIYE BWANA.
Roho mbaya KAFWA.Wakenya ni wanyama, hawafai hata kuwasikiliza, aliifanya kazi nzuri Sana kuwadhibiti Hawa wajinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli katuletea upendo na usawa hongera kwakeHuyu mama namuombea sana afanikiwe kwenye jitihada zake, nchi haiwezi kuendeshwa kwa chuki.
Duuuh sikufikiri Tony kama waweza andika maneno ya namna hii!anyway una uhuru wa kuandika uonacha.Lile jinga lilikuwa linachukia Kenya sana. Mungu si Athumani. Mwenyezi Mungu alituondolea balaa. Sasa urafiki kati ya Kenya na Tanzania unazidi kunoga.
Wakenya wengi walifurahia kifo chake, alikua amewadhibiti kila eneo.Duuuh sikufikiri Tony kama waweza andika maneno ya namna hii!anyway una uhuru wa kuandika uonacha.
Duuuh sikufikiri Tony kama waweza andika maneno ya namna hii!anyway una uhuru wa kuandika uonacha.
Huyo jamaa alikuwa anatukandamiza sana. Alikuwa na chuki binafsi na Kenya.Wakenya wengi walifurahia kifo chake, alikua amewadhibiti kila eneo.
Acheni kutufanya mazuzu, hapo mshamsika maza ni kuchuma tu tz, yaani sasahivi tz inakuwa shamba la bibi la kenya.Huyu mama namuombea sana afanikiwe kwenye jitihada zake, nchi haiwezi kuendeshwa kwa chuki.
Wezi nyieLile jinga lilikuwa linachukia Kenya sana. Mungu si Athumani. Mwenyezi Mungu alituondolea balaa. Sasa urafiki kati ya Kenya na Tanzania unazidi kunoga.