Ujirani mwingine ni kero tupu

Kweli kuna binaadam ni kero,ila amini huu nao ni ugonjwa.

Mueleze tu ukweli awe makini na vitu vya watu na vya kwake pia,atajirekebisha.
 
Sasa kama unafanya yote hayo unashindwa nini kununua viberiti ukawa navyo kwako?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kiweled unapaswa utengeneze mazingira wanaokuzunguka waone wana umuhimu kwako hata km umewazid kipato


Vibirit kumi vinauzwa TSH.500 wew ukiwa na akili zako timamu unaamin kabisa simudu kununua???
 
Wewe ndo mpumbavu kuvumilia ujinga. Inaonekana jirani yako kashakuambukiza upumbavu
 
Mwavuli wangu ulikuwa ukigusa kitufe unafyatuka, kumuazima jirani harudishi, kumdai kwa nguvu mwavuli unarudi ukiwa kiwa imepinda alafu kile kitufe hakifanyi kazi tena. Hadi nisukume mwavuli ndiyo ufunguke
sa itakuwaje na mvua zimeanza, tena tunaambiwa ni za el nino
 
Mkuu kuna watu ukimtendea mema anafikia kipindi anaanza kukuona unajipendekeza,boys,hunahakili, namengine mengi

Mbadilishie sura acha masiara mwishowe utaazimwa mkeo
 
Kwanini unampa vitu vyako? Leo kaja mtu kuazima panga kwangu, nikamwambia limeazimwa, kanambia si hilo hapo? Nikamjibu aliyeliazima amemtuma mtt kuja kulichukua ndio maana nimekiweka nje.
hahahaha we jamaa
 
"Bora kuomba kuriko kuiba"
 
Kiweled unapaswa utengeneze mazingira wanaokuzunguka waone wana umuhimu kwako hata km umewazid kipato


Vibirit kumi vinauzwa TSH.500 wew ukiwa na akili zako timamu unaamin kabisa simudu kununua???
Hiyo sawa mtu akiomba leo sawa inatokea, kinachokera kumfanya mwenzio dukani kwa mangi, leo piga hodi naomba kiberiti umepewa na hakirudi na siku nyingine unaenda kuomba tena, baadaye mvua naomba mwamvuli umepewa ukiurudisha umeshaharibika, mara sijui kitu gani kikirudi kimeharibika, sasa kweli utamlaumu mtu hapo?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
"Bora kuomba kuriko kuiba"
Ha ha ha kama umeamua kupanga chumba cha elf 50-60 hapo uwezo wakununua vitu vidogo vidogo unavyo, mambo yakugongeana mmm huko ndani una mambo yako unafanya mtu anakugongea anaomba kiberiti hapo saa 1 kasoro asubuhi ndugu mmm hapana kabisa

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sasa km kibirit chake nikimrudishia yey akija kusonga ugali ktk gesi yangu atawasha Kwa kutumia nin???


Miamvuli hii ya kichina kuharibika kawaida tu na nilishamwambia anunue miamvuli yenye waled hii ya bei rahisi ataishia kulaumu watumiaj kila uchwao


Alaf mbona akiazimaga ndinga Toyota stout yangu na anaikausha wese kaukau mbona mim nakulaga buyu tu[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nakubali mchoyo wa Taifa kaza utatoka
 
Tatizo linaloiharibu Tanzania ni ujamaa
Tukiachana na ujamaa na kuendekeza misaada nchi itafika mbali,maana kila mtu atatafuta kwa ajili yake na familia yake
 
Mkuu inatokea Huna hiyo shilingi 100 au unakuta unaenda kwa Mangi na 10k akupatie kiberiti cha sh 100 anakwambia chenji hana sasa utafanyaje kama siyo kwenda kuomba kwa jirani. Mkuu maisha ni kusaidiana Shida haichagui
Azima njiti
 
Just buy another.
 
Ishi nae kwa akili
 
...Umeishamsoma na Umemjua alivyo, Unamuazima wa Nini vitu vyake ? SI Unakataa tuu?? [emoji848][emoji848]
 
Hama uswazi utakuja kunishukuru mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…