Ujue mto Lukuga, mto wenye tabia zote mbaya, mto mwizi, mto jeuri, mto muuaji, mto hatarishi kwa kila aina ya mazingira

Ujue mto Lukuga, mto wenye tabia zote mbaya, mto mwizi, mto jeuri, mto muuaji, mto hatarishi kwa kila aina ya mazingira

Sawa. Andika wewe ukweli wako
Nimebinya panic button.

Enewei umeandika jambo jema linaloshughulisha akili.

Kikubwa tujuze asili ya mto huo na ulianza lini. Kwa nini leo ni tishio?

Pia huo upepo unaotolana na mto hui, tueleze speed ya mkondo wake.
 
Huo Upepo kwa lugha yetu uku Kanda ya Ziwa unaitwa Bhohanga.
Kuna pepo Nne.

Mwija.
Nimbe.
Nkomezi
Na Bhohanga.
Bhohanga ni Baba lao la upepo.

Kuna wakati unaweza piga siku 10 mfululilizo(uelekeo mmoja).
Na ukiwa umevurugwa Wavuvi ulazimika kuvuga mashua zao nchi kavu toka toka ndani ya Maji otherwise Mashua zitapasuka pasuka sababu ya Mawimbi makubwa ambayo Nanga haiwezi Imili uwezo wake.
 
Kitendo chochote cha kujaribu kuzuia maji kutoka Lake Tanganyika kuingia mto Lukuga itakuwa ni kuharibu ecosystem na madhara yake yanaweza kuwa makubwa mno.

Haya mambo ya kiasili hujirekebisha yenyewe kadri miaka inavyokuwa. Mizunguko ya maji duniani hupangwa na aliyeumba hii dunia.
Ndio maana wanafanya utafiti kwanza, na sidhani kama wanalenga kuzuia maji.

Huenda wakaangalia namna ya kupunguza kasi au kuchepusha kwa kuanzisha shughuli mbali mbali.

Kuna muda ukiacha kila kitu kienda peke yake kiasili tabu inatokea mbaya zaidi.
 
Kwahiyo Baba Levo anavomuita Mondi Lukuga hii ndio maana ya hilo jina?
 
Back
Top Bottom