KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimebinya panic button.Sawa. Andika wewe ukweli wako
Sawa.UMUGHAKA alishawahi ku share na sisi experience yake
Kukausha vyanzo vya majiUchafuzi upi unaofanywa ziwa Tanganyika
Unaweza kuvitaja hapa vyanzo vilivyokaushwa?Kukausha vyanzo vya maji
Moyowosi wetlandsUnaweza kuvitaja hapa vyanzo vilivyokaushwa?
Twende KigomaNimejiuliza ssna hiyo.miezi yote watu hata kuvua samaki hawavui je wanaishije wavuvi wanaotegemea fukwe hizo?
Mtoa mada anatunywesha chai ya vitunguu
WakaribishwaSawa.
Ndio maana wanafanya utafiti kwanza, na sidhani kama wanalenga kuzuia maji.Kitendo chochote cha kujaribu kuzuia maji kutoka Lake Tanganyika kuingia mto Lukuga itakuwa ni kuharibu ecosystem na madhara yake yanaweza kuwa makubwa mno.
Haya mambo ya kiasili hujirekebisha yenyewe kadri miaka inavyokuwa. Mizunguko ya maji duniani hupangwa na aliyeumba hii dunia.
Sawa mkuuMi naamini inaweza kuwa ndio Levithian au dragoni Mkuu kwani ni maviumbe yaliyopo kwenye ulimwengu wa Roho
Kwahiyo Baba Levo anavomuita Mondi Lukuga hii ndio maana ya hilo jina?