data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
they are financial stable
goldigger...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
they are financial stable
Fuatilia uniambie hao mnaosema kuwa wanawapa attention kama hawana wake zao..hawana mabinti kama ninyi?
Tiririiiiiii.....teh tehbibie ameanza kutiririka....
Kaka unafahamu kuwa huyo mbaba kamuacha mama yake huyo mdada nyumbani?Pia unafahamu kuwa huyo mababa ana watoto wa kike kama huyo mdada?au unaangalia na kuongelea upande mmoja...?
Hamna kitu hapo, kinachosumbua ni njaa tu, baadhi ya dada zetu hawawezi kuzificha njaa zao, matokeo yake wanatoka na baba na hata babu zao! Hii ni aibu kwao!Utamuona msichana mbichi kabisa mrembo nadhifu anatoka out na mtu mzima ambaye kimtazamo ni baba yake au babu yake kabisa, watu wanasema labda ni kwasababu gold digger na hawana mapenzi kwa hao watu wazima wengine wanasema ni kwa sababu ya pesa tu za hao watu wazima. Lakini kiukweli kuna kitu tofauti na mawazo ya watu wengi kwa hawa wadada kuwa na mahusiano na watu wazima na wala siyo sababu za pesa za hao watu wazima.
Kitu cha kwanza wasichana wengi wanapenda attention: Wanapenda mwanaume ambaye anaweza kuwajali (Pet them) kuwafanya wao the focus and centre of their lives. Watu wazima wana watreat wasichana namna hii tofauti na vijana wengi wafanyavyo.
Mtu mzima anajisikia proud sana kwa kuwa na msichana mbichi, na anajisikia very appreciative of what he has, kwa hiyo anamtreat with very much reverence. He will pay her all the attention she needs, and pet her, pmoja na kumtreat her kama malkia.
But a younger boyfriend will not give her all the attention or treat her the same way. Mwana MMU mwenzangu, nakaribisha mawazo yako.
Kwani Eva pale bustani ya Eden alikuwa na umri sawa na Adam? Si alikuwa tu kama babu yake manake alishachapa maisha mpaka akaboreka ndio Eva akaumbwa hebu acheni ulimbukeni umri co kigezo cha mapenzi mzee wa miaka 86 na mbibi wa miaka 71 wote ni wazee tuebu tuwasubiri mabinti zetu watueleze kwa undani zaidi.
ila kwangu mimi naona hiyo ni laana kwa hawa mabinti,
kuuchungulia uchi wa baba yako / mama yako ni laana mbaya sana.
binafsi binti ninayemzidi zaidi ya miaka 15 siwezi hata kujenga mazoea naye, vile vile mamaa anayenizidi zaidi ya miaka 15 sitaki kabisa hata kumtania kuhusu mambo ya kikubwa.
hawana stress
they give us a lot of care
huwaombi bali wanakupa
they know how a woman means
they are financial stable as they dont have many responsibilitieswww as paying rent,school wfees
long live wazee
ebu tuwasubiri mabinti zetu watueleze kwa undani zaidi.
ila kwangu mimi naona hiyo ni laana kwa hawa mabinti,
kuuchungulia uchi wa baba yako / mama yako ni laana mbaya sana.
binafsi binti ninayemzidi zaidi ya miaka 15 siwezi hata kujenga mazoea naye, vile vile mamaa anayenizidi zaidi ya miaka 15 sitaki kabisa hata kumtania kuhusu mambo ya kikubwa.
kama hana mke?
hahahaha bora umejihami lakini ushahidi unaonyesha kuwa hao unawalenga ni baba zenu kwa dada wa rika zenu..Pia wana wama zenu wa rika kama za mama za huyo mdada..Tuachane na hulka ya tabia hii
Baba ni baba. Bwana ni bwana, mnajaribu sana kuconnect the two but inabaki palepale, hawana uhusiano
We hutaki kukubali ukweli kwa kuwa umeshakua addicated na kutembea na wame za watu Period..huwezi kutembea na kumvulia nguo mtu mwenye umri na baba yako ukasema unahitaji attention?Attention is not something you can shop..attention is two way traffic.....
hawana stress
they give us a lot of care
huwaombi bali wanakupa
they know how a woman means
they are financial stable as they dont have many responsibilities as paying rent,school fees
long live wazee