Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Kazu hizo zikowapi mzee duniani kote mazingira ya kazi yanawezeshwa na serikali.Fanyakazi acha kulalamika tu unafikiri serikali itakuletea chakula nyumbani kwako?
Yaani hapo ndio umejibu hojaLissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu
Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
Kwenda kutibiwa na hats unalosema Kama kweli ni matokeo ya dhulma dhidi take.Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu
Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
Lisu ni ugonjwa siyo mgonjwa. Ugonjwa hauugui amayeugua ni binadamu. Mgonjwa utakuwa wewe na unamuugua Lissu. Kupona kwako ni kumpigia Lissu kura.Ccm waliingia na matokeo mfukoni wakizani waliowafungia wasifanye mazoezi hawawezi kucheza na wao lakini 35'' tayari tundu lissu anaongoza 2-0
Endelea kuota ndoto za kimweri.Chadema ilisha kufa tangu 2015, kilichobaki ni futuhi tu. Kwa namna Chadema inavyo kwenda kwa sasa upo uwezekano ilisha kufa kabla ya ujio wa Lowasa.
Sitaki wafe hawataupata uchungu na maumivu vizuri nataka waishi waoneKawe Alumni, kunywa sumu ujifie tu. Maana wewe na chama chako cha CCM hamna faida yoyote ile ndani ya nchi yetu. Tumewachoka.
Maskini akipata matako hulia Mbwiiii...hulia mbwata...!!!hulia mbwitu..Kibushuti mmoja wa watesi wa Lissu anena haya:
"Huyu Lissu nilimfukuza Bungeni kwa sababu ni mtoro alikua anazurura Ulaya anaisema vibaya nchi anasema nchi haina Uhuru amerudi hakuna aliyemkamata, anasema tunataka uhuru wakati Nyerere alishauleta anataka uhuru upi?"~Spika Job Ndugai
View attachment 1568276
Katika historia ya nchi hii,haijawahi tokea Spika mjinga kama huyu.Kibushuti mmoja wa watesi wa Lissu anena haya:
"Huyu Lissu nilimfukuza Bungeni kwa sababu ni mtoro alikua anazurura Ulaya anaisema vibaya nchi anasema nchi haina Uhuru amerudi hakuna aliyemkamata, anasema tunataka uhuru wakati Nyerere alishauleta anataka uhuru upi?"~Spika Job Ndugai
View attachment 1568276
Watu wamekwama huku wakiwa wanafanya kazi, biashara nyingi zinafungwa huku watu wakiwa hawajui kesho yao. Nyie mnaofaidi mezani kwa bwana ndio mnapiga kelele. Ukitaka kujua hii lugha yako ya kipuuzi ni kejeli kwa watu, omba siku kabla ya kura uende TRA ukaone trend ya kufunga biashara, kisha uje uhimize watu kufanya kazi. We baki ukitazama TBC na hizo nyomi zinazokuja kupunguza stress kwa kutazama wasanii, udhani watu wako kwenye furaha.
Kazu hizo zikowapi mzee duniani kote mazingira ya kazi yanawezeshwa na serikali.
Agizeni bombadia mkainadi vijijini mumeleta maendeleoLissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu
Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
Lissu atawapa gonjwa la moyo nyie madhulmati!Lissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu
Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
Hongera mtumishi wa serikali ,je TL anayoyasma yapo sahihi au hapana?Mnamjaza leo baada ya uchaguzi hamtaamini kitakachotokea..mim kama mtumishi wa serikali siko tayari kupoteza ugali wangu sababu ya uyu bwana mnaemjaza..ngoja azunguke nchi nzima akaitusimulia tukio lake after thet ataburuzwa mahakamani mpaka akome.
Lissu atawapa gonjwa la moyo nyie madhulmati!
Kidume kimerudi, mnakiita beberu, na ni beberu kweli kweli ngoja aanze kufanya yake, miezi 9 mbele mkamletee watoto "leba"
Jibu hojaLissu ni mgonjwa, serkali imwache ajitibu kwa kuropoka kila neno baya mpaka October atakuwa amepata nafuu
Baada ya hapo awahi ubeligiji akatibiwe
View attachment 1568644
[/QUOTE
Mmmmmmm!,kumbe ni shoo ya ccm na si mkutano wa kampeni.
Maskini wasanii wengi walipigwa biti na wale manyang'au wanaojiita BUTIKA MKUU NA MWENDOKASI.
Eti wanaendesha kampeni kisayansi!.khahahahaha,kumbe wameshindwa.duh poleni.nendeni kavu muone palivo pakavu.
Harafu acheni kuwafokea watumishi was Tanzania,wafokeeni watumishi was ccm ktk chama.
Mtumishi wa Tanzania anafanya Nazi mpaka kustaafu.lakini Chama kinastafishwa kwenye sanduku.