Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ni pm. Ila kama unaishi dar whatsapp maana huko kwenu maji ya kisima full magadi
 
mkuu hichi ilichokiandika hapa kuhusu Mba ni kweli? Mana nasumbuliwa na mba wa ngozi hususani kifuani nimepaka dawa, nimemeza vidonge lakini wapi sijapona
 
Iodine ni dawa bora kwa mba na fungus.. Ni dawa bora kuliko dawa nyingine zote unazozifahamu.. Asubuhi nilikuwa nawashwa na fungus kwenye pumbu.. Nimepaka iodine kwa mbali sasa hivi shwaari kabisa.. Iodine haina mjadala kwa fungus wala bacteria.. (angalizo.. Dawa hii ni kali sana hasa kwenye pumbu.. Ukipaka hakikisha unapaka kwa mbali mbali. Ukipaka nyingi utatamani upige 'vigele gele'...)
 
iodine naifahamu sana ila ckujua kama inatibu mba na ntaipaje ndugu yangu. Mana hiyo ni chemical
 
ila ni dawa...... kwan yana madhara?

Mafuta ya breki yapi? Yanayo tokana na mineral oil au Castor Oil? Kama Castor oil basi hayo yanatokana na mbegu za nyonyo - nasikia mafuta yanayo tokana na mbegu za nyonyo utibu magonjwa mengi.
 
Nenda pale TMJ muone Specialist wa ngozi. Ni dawa za wiki moja tu unasahu. Unahangaika si kwq sababu ugonjwa hautibiki, hujapata daktari (anayejua tiba yake)
 
iodine naifahamu sana ila ckujua kama inatibu mba na ntaipaje ndugu yangu. Mana hiyo ni chemical
Nenda duka la dawa waambie wakupe Iodine Tincture... Ile ya maji ambayo mara nyingi inatumika kama dawa ya vidonda...
 
mkuu hichi ilichokiandika hapa kuhusu Mba ni kweli? Mana nasumbuliwa na mba wa ngozi hususani kifuani nimepaka dawa, nimemeza vidonge lakini wapi sijapona
saga septrin za buku halafu uchanganye na mafuta mgando..uwe unalala sehemu yote kwa muda wa week mbili then usipopona leta mrejesho hapa...
 
Kwa hiyo analoweka majivu ya maganda ya ndizi mbichi yaliyokaushwa? Sijakupata vizuri mkuu!
 
mafuta ya brake.nimecheka sana unaweza ona ubongo unaanza kufunga brake
 
Nenda kko kwenye maduka ya asili nunua kibiriti upele n dawa iko ya unga ya rangi ya njano pakti linauzwa buku tu...unanunua na mafuta ya vaselin ya mgando ama ya nazi (ambayo hayana kemikali) unachota kidogo unachanganya unakuwa unajipaka ...dawa hii hata kama unafangasi za miguu ..miguu inanuka,, ugonjwa wa mashilingi kwa watt,, mba sehem zote inapaka ....paka asubuh na jion ukiwa ushaoga...pil usitumie sabun zenye kemikal kali kuoga tumia hata mbuni tu ,,, wik tu utuletee mrejesho...
 
Kwa hiyo analoweka majivu ya maganda ya ndizi mbichi yaliyokaushwa? Sijakupata vizuri mkuu!
Maganda ya ndizi yaliyokaushwa yachomwe.baada ya kuyachoma utapata majivu,sasa hayo majivu ndo unayaweka maji kisha chuja baada ya hapo chemsha kwa muda kiasi na dawa itakua tayr..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…