Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Kwa ushauri anza na mafuta ya breki kwanza kabla hujaenda kulipa milioni moja kwa dr wa agha khan,

hizi ishu ndogondogo watu tunajitibia kupitia online tu,mpaka issue ya surgery ndo utaniona hos
 
Hahahahahaaa...wewe kiboko
 
Jipake DOT 3.
Nenda kwenye maduka ya spea za magari kisha ulizia hii kitu.

Dawa nyingine kuna majani fulani hivi ambayo unayatwanga kisha unachanganya na mafuta ya taa. Baada ya hapo unajipaka kwenye sehemu zote zilizo shambuliwa na likoto.
Jina na aina ya majani haya ngoja nikutafutie maana nilijifunza hii kwa msure.
umeshapata?
 
Jaribu hizo...ikushindikana tell me nikupe recipe utengeneze dawa kiboko ya fungus.......

Disclaimer: I'm not a pharmacist ,mi niliona pharmacist akitengeneza nikajifunza...But anasema yaani ni kiboko...
whitefield haifanyi kazi
 
whitefield haifanyi kazi
Pole sana madam

Sasa nunua hiyo hiyo Whitfield ya kopo, nunua griseofluvin kidonge kimoja na sulphur..... ponda hicho kidonge cha griseofluvin weka kwenye Whitefield halafu chukua sulphur kijiko mimi na weka kwenye Whitefield.....

Changanya vizuri ili ichanganyike vizuri halafu paka asubuhi na jioni baada ya kuoga vizuri na kujikausha..

Baada ya siku 5 leta feedback ma'am..
 
ngoja nikavitafute nikuonyeshe ndio nichanganye
 
Mafuta ya Breki paka unapolala..
Siku2 unapotea kabisaa na haurudi
 
Usipate shida sana Mkuu Nenda pharmacy kubwa kubwa kanunue dawa Fulani hivi ya tube inaitwa Dermovate cream active ingredient : Clobetasol propionate

Paka iyo dawa twice a day... Asubuhi na jioni unapomaliza kuoga then njoo hapa ulete mrejesho... Usitumie zaidi ya two weeks Nimeambatanisha picha yake hapo chini..

Wish You all the best...

IMG_20170527_150635.jpg
 
View attachment 515232
Ntajitahidi
 
Back
Top Bottom