Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
[emoji23][emoji23]Serious, sikudhihaki ndugu yangu..Acha uchokoz mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Serious, sikudhihaki ndugu yangu..Acha uchokoz mkuu
Hahaha...[emoji23][emoji23]Serious, sikudhihaki ndugu yangu..
niliwahi kuona mtu ikabidi achome moto nguo zake za ndani akaanza upya na zinachemshiwa maji hizo ni kaz hasaYeah, nyie mko na risk kubwa ya kuwa infected kirahisi
niliwahi kuona mtu ikabidi achome moto nguo zake za ndani akaanza upya na zinachemshiwa maji hizo ni kaz hasa
Aisee, unaeza kuogopa hata kushea ndoo na wengine..niliwahi kuona mtu ikabidi achome moto nguo zake za ndani akaanza upya na zinachemshiwa maji hizo ni kaz hasa
Nyie mahitaji usafi sana, yani mlivyo ni kama nyumba nzuri yenye samani za thamani sana bongo afu isiwekwe grili.... ..mwizi akivamia na teke moja tu mlango chaliii anazama ndani..
heri ndoo na s kopola chooni hilo hapanaAisee, unaeza kuogopa hata kushea ndoo na wengine..
Kumbe mpangilio wa msosi pia unamata?Kwa kweli
Na ulaji pia hasa matumizi ya maji ni muhim, Mubgu atuepushie mbali
Sasa ukiwa safarini unajilinda aje Madameheri ndoo na s kopola chooni hilo hapana
sana hasa unywaji wa maji tunapaswa kunywa maji kama inavyosemwa, hata vyakula inashauriwa zaidi tule balanced dietKumbe mpangilio wa msosi pia unamata?
sana hasa unywaji wa maji tunapaswa kunywa maji kama inavyosemwa, hata vyakula inashauriwa zaidi tule balanced diet
kwenye kuchimba dawa mabasi yanaposimama vyoo nilivoingia nilikuta mabomba aina mbili, yale ya kupress maji yanatoka kwa presha jina lake sifahan vizur na haya yakawaida ambapo hua naisogeza ile ndoo na lazima ninawe mikono kabla sjajisafisha so nahakikisha nimenawa vizur then najikausha najistiri natokaSasa ukiwa safarini unajilinda aje Madame
Yani kuna time wanawasha hadi dungu linaiva... Sitaki kukumbuka kwakweli [emoji3]
kwenye kuchimba dawa mabasi yanaposimama vyoo nilivoingia nilikuta mabomba aina mbili, yale ya kupress maji yanatoka kwa presha jina lake sifahan vizur na haya yakawaida ambapo hua naisogeza ile ndoo na lazima ninawe mikono kabla sjajisafisha so nahakikisha nimenawa vizur then najikausha najistiri natoka
[emoji3]Dungu linaiva,sipati picha [emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha hilo ni kweli mama yangu amenisaidia sana sana nakumbuka tulikua tunakaa nyumba tunashare vyoo yan nilikua naumwa kila leo ndio akawa ananielekeza mpaka leo nafaidi matunda yake mengi tuSerikali ikupatie fund tuandae program ya TV na radio, hakika utaokoa mabinti wengi... Watoto hawafundishwi hivi vitu mashuleni matokeo yake ni ma-UTI kila leo
Heri yako mwenye elimu ahera, elimu dunia + na hii tuiite elimu maarifa...hahaha hilo ni kweli mama yangu amenisaidia sana sana nakumbuka tulikua tunakaa nyumba tunashare vyoo yan nilikua naumwa kila leo ndio akawa ananielekeza mpaka leo nafaidi matunda yake mengi tu
kwa kweli japo sjapata zile elimu zenyewe lakiini alhamdulillah ninazo zakuokotea okotea tu, hulaliHeri yako mwenye elimu ahera, elimu dunia + na hii tuiite elimu maarifa...
Elimu ya utambuzi tu inatosha Madame S, siyo lazima sote tuwe wabobezi dunia haitokalika [emoji23]kwa kweli japo sjapata zile elimu zenyewe lakiini alhamdulillah ninazo zakuokotea okotea tu, hulali
kwa kweli japo sjapata zile elimu zenyewe lakiini alhamdulillah ninazo zakuokotea okotea tu, hulali