Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Nyie mahitaji usafi sana, yani mlivyo ni kama nyumba nzuri yenye samani za thamani sana bongo afu isiwekwe grili.... ..mwizi akivamia na teke moja tu mlango chaliii anazama ndani..
niliwahi kuona mtu ikabidi achome moto nguo zake za ndani akaanza upya na zinachemshiwa maji hizo ni kaz hasa
 
Kwa kweli

Na ulaji pia hasa matumizi ya maji ni muhim, Mubgu atuepushie mbali
Nyie mahitaji usafi sana, yani mlivyo ni kama nyumba nzuri yenye samani za thamani sana bongo afu isiwekwe grili.... ..mwizi akivamia na teke moja tu mlango chaliii anazama ndani..
 
Sasa ukiwa safarini unajilinda aje Madame
kwenye kuchimba dawa mabasi yanaposimama vyoo nilivoingia nilikuta mabomba aina mbili, yale ya kupress maji yanatoka kwa presha jina lake sifahan vizur na haya yakawaida ambapo hua naisogeza ile ndoo na lazima ninawe mikono kabla sjajisafisha so nahakikisha nimenawa vizur then najikausha najistiri natoka
 
Serikali ikupatie fund tuandae program ya TV na radio, hakika utaokoa mabinti wengi... Watoto hawafundishwi hivi vitu mashuleni matokeo yake ni ma-UTI kila leo

hahaha hilo ni kweli mama yangu amenisaidia sana sana nakumbuka tulikua tunakaa nyumba tunashare vyoo yan nilikua naumwa kila leo ndio akawa ananielekeza mpaka leo nafaidi matunda yake mengi tu
 
Heri yako mwenye elimu ahera, elimu dunia + na hii tuiite elimu maarifa...
 
Back
Top Bottom