Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

Issue ni hivi yule Dada alipigwa risasi nadhani ni kwa bahati mbaya.....najua ni pengo kubwa kwa familia lakini jina LA binti huyo kuendelea kutumika kisiasa kwenu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu...mnafikiri mama yake anajisikia vipi kila siku kutumia jina LA mwanae aliyetangulia mbele ya haki.

Staarabikeni bwana. Njoo na agenda sio chuki.

Hata kama angekuwa CHASO but it is too much.....waje na agenda sio hizi chuki zao.

Sina hakika kwanini suala la Aquilina umelikomalia hivi hapa.

Kwamba huu ni ufafanuzi wako sasa kuwa alipigwa risasi kwa bahati mbaya? Kwani hiyo risasi ilielekezwaje kwenye bus ili isiuwe mtu?

Kichwa cha mada umesoma? Kwenye mada nako umesoma?

Buza kwa Mtogole na contents za bango Marekani na mimi wapi na wapi?

Usisahau Aquilina kama Ben, Mawazo, Lijenje, Azory na wengine wanao pia ndugu, jamaa na marafiki zao ambao katu hawatausahau unyama wenu.
 
Hatukatai kwamba watu hawakuumizwa Ila my concern ni namna CHADEMA inavyoyachukulia hayo maumivu kama mtaji wao....agenda yako kuu ni kuhubiri chuki.
Mkuu hakuna tawala iliyowahi kusimama bila watu kuumia trust me. Hata ikitokea chadema imeshika madaraka lazima Kuna watu watakufa tuu. Refer tawala nyingi za dunia hata Vatican kwenyewe.

So mambo mengine hayasaidii hata ukiyasemea Mara elfu....leteni agenda ya kulisaidia taifa na sio kuligawa
 
Japo nasikia jamaa walipoona hayo maandamano walibadilisha njia, lakini naamini atauona ujumbe kwenye mitandao.
 
Hii safi sana. Ujumbe mzuri. I hope ataona na kufanyia kazi.
 
Mengine yapo sawa na Sijali kuhusu hayo.....
Ila sio mara moja au mbili naona mnatumia jina la dada wa watu kwa faida zenu.
Tusidanganyane hapa hakuna ndugu yake hapo.
Wewe unamfahamu Ndugu yake hata mmojA?
 
Hatukatai kwamba watu hawakuumizwa Ila my concern ni namna CHADEMA inavyoyachukulia hayo maumivu kama mtaji wao....agenda yako kuu ni kuhubiri chuki.
Mkuu hakuna tawala iliyowahi kusimama bila watu kuumia trust me. Hata ikitokea chadema imeshika madaraka lazima Kuna watu watakufa tuu. Refer tawala nyingi za dunia hata Vatican kwenyewe.

So mambo mengine hayasaidii hata ukiyasemea Mara elfu....leteni agenda ya kulisaidia taifa na sio kuligawa
Waulize mbona hawaandiko Kifo cha ulimboka?
 
Issue ni hivi yule Dada alipigwa risasi nadhani ni kwa bahati mbaya.....najua ni pengo kubwa kwa familia lakini jina LA binti huyo kuendelea kutumika kisiasa kwenu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu...mnafikiri mama yake anajisikia vipi kila siku kutumia jina LA mwanae aliyetangulia mbele ya haki.

Staarabikeni bwana. Njoo na agenda sio chuki.

Hata kama angekuwa CHASO but it is too much.....waje na agenda sio hizi chuki zao.
Aquilina Alikuwa shooted Kwa bahati mbaya? Aliyefyatua risasi alikuwa AKIMLENGA nani kwenye mkutano wa CHADEMA Hadi itue Kwa huyo Binti Kwa bahati mbaya?
 
Ujumbe haukimbiwi alimjibu Salim hovyo hovyo kwa kuwa si mtanzania mkaazi.

Sasa ujumbe kaupata tena huko majuu kutoka kwa watanzania wasio wakaazi.

Kuna muda utafika hata kivuli chake atataka kukikimbia.
 
Aquilina Alikuwa shooted Kwa bahati mbaya? Aliyefyatua risasi alikuwa AKIMLENGA nani kwenye mkutano wa CHADEMA Hadi itue Kwa huyo Binti Kwa bahati mbaya?
Chanzo cha marehemu kufa ni vurugu za chadema na upinzani zisizotii mamlaka husika so hapo chanzo cha kifo ni hayo mavurugu yenu.
 
Waulize mbona hawaandiko Kifo cha ulimboka?
Hakika tuna upinzani wa hovyo sijapata kuona....kwanza wakulaumiwa kuhusu kifo cha huyo binti ni wao kwa kutotii mamlaka. Saizi wanapiga mayowe kila sehemu.
 
Back
Top Bottom