KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kwa hiyo wewe unatakaje?Mengine yapo sawa na Sijali kuhusu hayo.....
Ila sio mara moja au mbili naona mnatumia jina la dada wa watu kwa faida zenu.
Tusidanganyane hapa hakuna ndugu yake hapo.
Wewe ni ndugu yako?
Umeongea na ndugu zake wakakwambia jina lake linatumiwa vibaya?
Serikali ilipotaka kuwafunga akina Mbowe na kujaribu kulaumu msiba wake juu yao ulifurahi?