Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh...!.Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:
View attachment 2198430
Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi.
View attachment 2198432
Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
View attachment 2198433
yani aqulina kapata umaarufu ambapo tayari ameshakufa hata familia yake haifaidiki na hilo jina kutumikaIla kwanini mnapenda kumtumia huyo dada Aquilina kwa manufaa yenu Aseee?
Issue ni hivi yule Dada alipigwa risasi nadhani ni kwa bahati mbaya.....najua ni pengo kubwa kwa familia lakini jina LA binti huyo kuendelea kutumika kisiasa kwenu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu...mnafikiri mama yake anajisikia vipi kila siku kutumia jina LA mwanae aliyetangulia mbele ya haki.
Staarabikeni bwana. Njoo na agenda sio chuki.
Hata kama angekuwa CHASO but it is too much.....waje na agenda sio hizi chuki zao.
Hatukatai kwamba watu hawakuumizwa Ila my concern ni namna CHADEMA inavyoyachukulia hayo maumivu kama mtaji wao....agenda yako kuu ni kuhubiri chuki.Sina hakika kwanini suala la Aquilina umelikomalia hivi hapa.
Kwamba huu ni ufafanuzi wako sasa kuwa alipigwa risasi kwa bahati mbaya? Kwani hiyo risasi ilielekezwaje kwenye bus ili isiuwe mtu?
Kichwa cha mada umesoma? Kwenye mada nako umesoma?
Buza kwa Mtogole na contents za bango Marekani na mimi wapi na wapi?
Usisahau Aquilina kama Ben, Mawazo, Lijenje, Azory na wengine wanao pia ndugu, jamaa na marafiki zao ambao katu hawatausahau unyama wenu.
Nimeamini US IPO democrasia, hv Kweli Mwigulu ni WA kuwapigia makofi waandamanaji akiwa na bashasha usoni?Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:
View attachment 2198430
Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi.
View attachment 2198432
Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
View attachment 2198433
Hahaa! Jamani jamani, kipigo Cha MBWAKOKO marikani hamna uko?Hopefully utakuwa wa mbele kabisa na bango lako hapo uwanjani!
Kinachomwogopesha kurudi nini?Mmesahau mlisema akija atakamatwa? Mkasema tukienda kumpokea tutakamatwa?
Hatukujua muda wa kuondoka tungekuwapo JKNIA kumuaga. Kama hukujua na ujue.
Wewe unamfahamu Ndugu yake hata mmojA?Mengine yapo sawa na Sijali kuhusu hayo.....
Ila sio mara moja au mbili naona mnatumia jina la dada wa watu kwa faida zenu.
Tusidanganyane hapa hakuna ndugu yake hapo.
Waulize mbona hawaandiko Kifo cha ulimboka?Hatukatai kwamba watu hawakuumizwa Ila my concern ni namna CHADEMA inavyoyachukulia hayo maumivu kama mtaji wao....agenda yako kuu ni kuhubiri chuki.
Mkuu hakuna tawala iliyowahi kusimama bila watu kuumia trust me. Hata ikitokea chadema imeshika madaraka lazima Kuna watu watakufa tuu. Refer tawala nyingi za dunia hata Vatican kwenyewe.
So mambo mengine hayasaidii hata ukiyasemea Mara elfu....leteni agenda ya kulisaidia taifa na sio kuligawa
Kila ukombozi una mashujaa wakeIla kwanini mnapenda kumtumia huyo dada Aquilina kwa manufaa yenu Aseee?
Aquilina Alikuwa shooted Kwa bahati mbaya? Aliyefyatua risasi alikuwa AKIMLENGA nani kwenye mkutano wa CHADEMA Hadi itue Kwa huyo Binti Kwa bahati mbaya?Issue ni hivi yule Dada alipigwa risasi nadhani ni kwa bahati mbaya.....najua ni pengo kubwa kwa familia lakini jina LA binti huyo kuendelea kutumika kisiasa kwenu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu...mnafikiri mama yake anajisikia vipi kila siku kutumia jina LA mwanae aliyetangulia mbele ya haki.
Staarabikeni bwana. Njoo na agenda sio chuki.
Hata kama angekuwa CHASO but it is too much.....waje na agenda sio hizi chuki zao.
Chanzo cha marehemu kufa ni vurugu za chadema na upinzani zisizotii mamlaka husika so hapo chanzo cha kifo ni hayo mavurugu yenu.Aquilina Alikuwa shooted Kwa bahati mbaya? Aliyefyatua risasi alikuwa AKIMLENGA nani kwenye mkutano wa CHADEMA Hadi itue Kwa huyo Binti Kwa bahati mbaya?
Hakika tuna upinzani wa hovyo sijapata kuona....kwanza wakulaumiwa kuhusu kifo cha huyo binti ni wao kwa kutotii mamlaka. Saizi wanapiga mayowe kila sehemu.Waulize mbona hawaandiko Kifo cha ulimboka?
Waulize mbona hawaandiko Kifo cha ulimboka?