KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kwa hiyo wewe unatakaje?Mengine yapo sawa na Sijali kuhusu hayo.....
Ila sio mara moja au mbili naona mnatumia jina la dada wa watu kwa faida zenu.
Tusidanganyane hapa hakuna ndugu yake hapo.
Daah yaani DaahYasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:
View attachment 2198430
Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi.
View attachment 2198432
Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
View attachment 2198433
Honestly, wewe unayatazama na kutafsiri mambo katika viwango vya chini sana vya uelewa na ufahamu..Usiniunganishe na CCM mkuu....
Ila mnatumia jina lake namna ambayo hata yeye inamshangaza kaburini.
Hakuwahi fungamana na harakati zenu....Honestly, wewe unayatazama na kutafsiri mambo katika viwango vya chini sana vya uelewa na ufahamu..
Mimi nakuhakikishia jambo moja, kuwa, huko aliko Aquillina anafurahia sana kwa sababu anaona kuwa, kumbe wapo watu wanapigania haki yake na kuzuia polisi wasije wakaua wengine tena kama walivyomuua yeye..
Kumbuka kuwa, huyu binti Aquillina aliuwawa kikatili na Jeshi la polisi kwa makusudi kabisa ili mwisho wa siku hawa polisi kwa kutumwa na watawala wawauzie kesi kina Freeman Mbowe na CHADEMA..
Nakushauri, ujifunze kuyatazama na kuyatafsiri mambo katika viwango sahihi vya ufahamu...!!
Ni kama vile huelewi na kwa hiyo tunakuwa hatuelewani...Hakuwahi fungamana na harakati zenu....
Aliuwawa kwa Ujinga wa Polisi na Viongozi wenu.
Msilitumie jina lake kujinufaisha, kwanini uzunguke wakati sote tunaelewa lengo ni nini.
Tukishamlaumu marehemu atafufuka?Usijitoe ufahamu. Mlaumuni Mkurugenzi wa Kinondoni kwa upuuzi alioufanya
Chadema INA haki gani hapa tanzania?Mkurugenzi wa Kinondoni angetenda HAKI kwa mawakala wa CHADEMA hayo yote yasingetokea.
Naunga mkono hojaYasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:
View attachment 2198430
Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi.
View attachment 2198432
Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
View attachment 2198433
Kwani nani ndiye mwenye haki zaidi kuliko nani?Chadema INA haki gani hapa tanzania?
Haki,haki,haki....haki mnataiweza mkipewa?Kwani nani ndiye mwenye haki zaidi kuliko nani?
Kwa vile nyie imewashinda msidhani ubinadamu ni udhwalimuHaki,haki,haki....haki mnataiweza mkipewa?
Hata kina Hitler, Mussolini, Amini, Pol Pot, Putin, Paka, Museveni, Mugabe, nk hawataacha kunangwa wakiwa hai au wafu.Tukishamlaumu marehemu atafufuka?
Unaona sasa akili zako....ulishawahi kukaa katika nchi hizo na kuwasikiliza wenyeji au vitabu vya propaganda vinakudanganya....unafikiri hao uliowataja wasingefanya hivyo nchi zao zingesimama? Elimu yetu hii ya kujibia mtihani hakika inatupotezaHata kina Hitler, Mussolini, Amini, Pol Pot, Putin, Paka, Museveni, Mugabe, nk hawataacha kunangwa wakiwa hai au wafu.
Siyo dada acquilina pekee. Hata katiba inatumika kwa manufaa ya kundi japo ina uhitaji ila watanzania wa kawaida hawana habari nayoMengine yapo sawa na Sijali kuhusu hayo.....
Ila sio mara moja au mbili naona mnatumia jina la dada wa watu kwa faida zenu.
Tusidanganyane hapa hakuna ndugu yake hapo.
Unaona sasa akili zako....ulishawahi kukaa katika nchi hizo na kuwasikiliza wenyeji au vitabu vya propaganda vinakudanganya....unafikiri hao uliowataja wasingefanya hivyo nchi zao zingesimama? Elimu yetu hii ya kujibia mtihani hakika inatupoteza
Vurugu unazijua ww? Risasi za moto za nini kwenye mkutano wa siasa Kwa watu wasio na silaha!! Msichokoze wenye Nchi. Wao ndio waajiri wa Askari.Chanzo cha marehemu kufa ni vurugu za chadema na upinzani zisizotii mamlaka husika so hapo chanzo cha kifo ni hayo mavurugu yenu.