Dini ni utaratibu/mfumo wa maisha ya mtu anayoishi kila siku.ila kuna aina 2 kuu za diniNaomba nieleweshe maana ya dini?
A)Dini ya Mungu :Huu ni mfumo wa maisha ya binadam unaofuata utaratibu au muongozo aliotoa Mungu watu wafuate ktk maisha yao ya kila siku
B)Dini za watu :Ni mfumo/utaratibu ambao watu wenyewe tumejichagulia kuishi.eg haki sawa kwa wote ikiwa ni kutembea uchi kwa wanawake watu kuwa mashoga watu kuibiana watu kuuana nk