Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

Naomba nieleweshe maana ya dini?
Dini ni utaratibu/mfumo wa maisha ya mtu anayoishi kila siku.ila kuna aina 2 kuu za dini
A)Dini ya Mungu :Huu ni mfumo wa maisha ya binadam unaofuata utaratibu au muongozo aliotoa Mungu watu wafuate ktk maisha yao ya kila siku
B)Dini za watu :Ni mfumo/utaratibu ambao watu wenyewe tumejichagulia kuishi.eg haki sawa kwa wote ikiwa ni kutembea uchi kwa wanawake watu kuwa mashoga watu kuibiana watu kuuana nk
 
Halafu unajihesabu umesoma? kama akili hizi basi kweli kumuona Mchungaji laki 5 kidogo sana, aweke milioni 1
Kwanini ungewauliza kwanza Waislamu wanao funga safari hadi Kibaha kwenda kumwona Nabii Mpya wa Kiislamu.
Nabii Elyasi ?
 
Vatican yashutumiwa kuhusika mauaji ya kimbari Rwanda​

Elizabeth Shoo04.02.20154 Februari 2015
Hakimu mmoja wa mahakama maalumu ya kusimamia kesi ya mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 ameulaumu uongozi wa kanisa katoliki kwa kuwalinda washukiwa waliohusika ambao ni viongozi wa dini.
Huku Rwanda walikua wanampigania Yesu? Walikua wanampigania Mungu? Walikua wanapigania ukristo?? We jamaa zero brain kabisa
 
hakuna dini ya Mwarabu. dini ya binaadam wote wenye akili. asie na akili anaabudu jiwe kama wewe
Allah ni Mwarabu kwakuwa anasikia Lugha ya Kiarabu tu.
Ni Mungu wa Waarabu tu na wanasikilizana vizuri.
 
hujalazimishwa. hapa unapewa umuhimu wa kuwa muislam na kaucha huko uliko. kama huamini endelea kukumbatia giza lako
Dini ya upigaji
 
Attachments

  • Snapinsta.app_video_An-A1P5WEr2QH4eMLWM_r-w_FK0pMDiOx605UOpPA445GZTqvajvnhS_JnYmp7I5auux7FNBl8...mp4
    4.1 MB
Kwanini ungewauliza kwanza Waislamu wanao funga safari hadi Kibaha kwenda kumwona Nabii Mpya wa Kiislamu.
Nabii Elyasi ?
mmmm? inawekezakana. maana baadhi ya waislam hawajitambui. dini yao hawataki kusoma , wapo bizz na mpira na siasa.
 
matusi ya nini? wakiristo mbona mahasira sana ?Jenga hoja usilete matusi. nani mjinga anaelala baa akiwa na Pombe kichwani na anaelala kwake?
Hoja ambayo huwez jibu chochote ya kazi gani? Hata kupekua tu mtandaon pamekushinda

Sie hatumpiganii Mungu, anajiweza , anapambana mwenyewe na anatupambania pia
 
Hoja ambayo huwez jibu chochote ya kazi gani? Hata kupekua tu mtandaon pamekushinda

Sie hatumpiganii Mungu, anajiweza , anapambana mwenyewe na anatupambania pia
umeliza nini? kikubwa?
 
Kipi kilianza kuja duniani kati ya watu na dini?
Dini ilianza kuwepo kabla ya mtu kuwepo na unahitajika ujue kabla ya wew na mimi kuja Duniani kuna viumbe tayar walikuwepo
Ndio mana nimekwambia ni kitabu ambacho kimeandikwa kimkakati na self defensive ilikua ya hali ya juu kwa maana waandishi walijitahidi kutokutoa mianya ya kukosolewa na kwenye yale mambo yote ambayo walishindwa kuyatolea ufumbuzi waliyaweka kwenye kipengele cha kufuru kwamba mtu asivuke zaidi ya hapo akivuka hapo lazima aadhibiwe ikiwezekana apigiwe takbiriiiiiii.
Unahisi jambo gani katika Quran halijatolewa ufumbuzi mana unaambiwa Quran haikuacha kuelezea jambo lolote lenye madhara na faida katika maisha ya watu
 
Dini ilianza kuwepo kabla ya mtu kuwepo na unahitajika ujue kabla ya wew na mimi kuja Duniani kuna viumbe tayar walikuwepo

Unahisi jambo gani katika Quran halijatolewa ufumbuzi mana unaambiwa Quran haikuacha kuelezea jambo lolote lenye madhara na faida katika maisha ya watu
jambo halijatolewa ufafanuzi kwa akili yangu kukujua mimi wewe unaishi wapi kwa sasa?
 
Back
Top Bottom